Loimata
JF-Expert Member
- Dec 1, 2022
- 749
- 1,741
- Thread starter
- #101
Nashukuru sana.🙏Ili kupata wateja wengi hakikisha unazingatia;
Usafi
Lugha nzuri Kwa wateja (Customers care)
Uaminifu
Kujitangaza
Kufanya ukarabati wa mara Kwa mara Kwa kubadirisha vitu ambavyo vinakuwa vimeharibika mfano taa/charging socket n.k
Nitajitahidi kufanya haya.
Samahani kwa maswali mkuu ila naomba unijuze changamoto za kujiandaa kukutana nazo🙏
Nafikiria kuweka wahudumu wa kiume ila wengi wanashauri niweke wadada.Wewe unasemaje mkuu?