Naomba kujuzwa taratibu/masharti yanayoandikwa Guest House au Lodge

Naomba kujuzwa taratibu/masharti yanayoandikwa Guest House au Lodge

Kipindi cha ujana niliwahi kulala lodge moja hulo katavi, kumbe next room kuna mchungaji.

Sasa kimwana nliekua nae alikua kafungiwa spika ya JBL kwenye koo, kila ukitupia kombora lazma apige vigelegele, maskini mchungaki akaenda kaunta kulalamika. Asalaleee saa ngapi nsipigiwe simu chumbani kua kelele zimezidi.

Wooi, ikashindikana.

Asubuhi natoka nje naskia wale mabinti wanatuongelea huku wakininyooshea vidole.

NKawasogelea nkawaambia si ni laifu.

Nkawapa dasi wakanywe chai ghafla shukrani zikawa nyingi. Hakukua na simu tena.

GOod old times
 
Kipindi cha ujana niliwahi kulala lodge moja hulo katavi, kumbe next room kuna mchungaji.
Sasa kimwana nliekua nae alikua kafungiwa spika ya JBL kwenye koo, kila ukitupia kombora lazma apige vigelegele, maskini mchungaki akaenda kaunta kulalamika. Asalaleee saa ngapi nsipigiwe simu chumbani kua kelele zimezidi...
Wooi, ikashindikana.
Asubuhi natoka nje naskia wale mabinti wanatuongelea huku wakininyooshea vidole.
NKawasogelea nkawaambia si ni laifu.
Nkawapa dasi wakanywe chai ghafla shukrani zikawa nyingi. Hakukua na simu tena.
GOod old times
Me na woooii tena, 🤔
 
Back
Top Bottom