Naomba kujuzwa taratibu/masharti yanayoandikwa Guest House au Lodge

Naomba kujuzwa taratibu/masharti yanayoandikwa Guest House au Lodge

🤣🤣🤣 Halafu huu unaa sijui jf walitoka nao wapi🙆
Hii ndo nzuri sasa sio unabebika na mtoto wa mtu kumbe Kuna mijitu inasoma kimya kimya, saiv ukiona idadi ya watu Kuna namna kkaustaarabu katakwepo
 
Kukabidhi chumba saa nne asubuhi bila kujali muda uliolipia chumba naonaga mnazingia sana.... Kwa nini usiwe 24 hours kuanzia unapochukua chumba
Nikisimama upande wa mteja nakuelewa vizuri ila ndo hivyo
 
Back
Top Bottom