Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usichukue madem wa watejaHabari ya jioni wakuu.
Natarajia kufungua guest house soon hivyo kuna vitu vingi kuhusu hii biashara nahitaji kuvijua..
Kwenye lodge nyingi ukiingia huwa unakuta wamebandika kikaratasi chenye kuelezea taratibu zao au marufuku ya vitu ambavyo mteja huruhusiwi kufanya.
Naomba wenye guest wenzangu au wapendwa ambao mnasafiri mara kwa mara na kulazimika kulala lodge mnisaidie kuorodhesha masharti uliyokutana nayo ktk lodge mbalimbali na iwapo upo lodge muda huu hebu piga picha hiyo karatasi hapo ukutani unibless nayo hdpa!🙏
Vile vile ushauri wowote kuhusu uendeshaji wa lodge utapokelewa kwa moyo wa shukrani.
ASANTENI
Usipende kuwepo ofisini/gues hapo km unafahamika eneo hilo. Nenda kwenye mahabu tuu, hakikisha unaemuweka hapo awe smart kichwan awe msimimizi mzuriSawa ila mie mwanamke
Tengeneza mfumo mzuri wa kazi kwenda vzr hara usipokuwepo, maana kuna dharura, kuna kusafiri. Ukiwepo wewe kuna wateja utawakosa km marafiki,ndugu na nk aje ili ujue kagegedwa!?Asante nimekupata mkuu🙏
Ila nisipokuwepo kuibiwa vipi mana uaminifu ni tatizo
Mmh😁😁😀😀😀
Na ndio hivyo mie bado kuingia guest hapa naulizia kiujanja najiandaa kisaikolojia siku nikienda😜
Hebu piga picha, maana utakuwa umemakia gesti wewe!Niletee Kiko hapo sebuleni nikusimulie zaidi Mjukuu 🤗
Hizo nguvu za kuamkia guest ninazo basi MjukuuHebu piga picha, maana utakuwa umemakia gesti wewe!
Shukran mkuu🙏Lodge na Guest house nyingi Zina masharti ambayo yamewekwa kwaajili ya kulinda Mali za Lodge.
Mfano kwenye kale ka Lodge kangu nimeweka masharti mawili matatu lakini Kwa uchache ni kama yafuatayo;
Usichafue mashuka Kwa Damu ama Kinyeshi.
Lengo la kuweka sharti hili ni kutokana na kuzuka Kwa tabia ya Vijana wa hovyo kupenda kutumia zaidi njia za vumbi katika kutembea kwako, hivyo kuchafua mashuka na wakati mwingine mataulo ya Lodge.
Lakini pia Kuna wadada wengine wanatoa gemu ili hali wapo Kwenye Siku zao za hedhi hali inayopelekea kuchafua mashuka.
Usifungilie TV ama kupiga kelele zitakazofanya wenzio kukosa Usingizi.
Kuna Vijana wengine wakiingia Lodge basi watafungulia TV Kwa sauti kubwa hali inayoweza kupelekea wenzie katika Vyumba vya jirani kushindwa Kulala, ama wakati mwingine hao Vijana wa hovyo huingia na wapenzi wao ambao hupiga kelele usiku mzima wakati wa kupeana hivyo kupelekea wenzao kukosa Usingizi.
Kwa uchache nawasilisha.
Ili kupata wateja wengi hakikisha unazingatia;Shukran mkuu🙏
Nilichojifunza hapa ni kuwa lodge zote zina masharti yanayofanana.
Mbali ya masharti nitashukuru ukinipa abc mbili tatu za hii biashara.
Nifanyaje nipate wateja wengi kuliko wenzangu?😀
Nifanyaje nihakikishe wateja wakifika hawanihami🙏
Asante mkuu