Naomba kujuzwa usafiri wa moja kwa moja wa bus kutoka Dar mpaka Musoma

Naomba kujuzwa usafiri wa moja kwa moja wa bus kutoka Dar mpaka Musoma

Kuna Falcon, Abood, Happy Nation, Kapricon, Johanvia etc...

Ni wewe tu
 
Niliwahi safiri na basi la Kapricon , imepita miaka kadhaa sijui kama bado lina route hiyo
 
Hii ip mkuu ndo gari ya speed dereva kanyoa fidodido. Acha tu nliwahi kushukia njian hii gari walikuwa wanapita round about na speed 40 pale makutano hadi abiria wakadondoka nikajianbia hakuna dereva humu
😁 ila kuna madereva wa mabasi wana mbwembwe sana.
 
Update: Hey guys nishakata tikiti (online) kwa Johanvia... They have the best e-ticketing. Tomorrow, I'll be boarding the bus to Kanda Maalum. Kuna wenyeji huko?
 
Back
Top Bottom