Chai ya saa kumi
Senior Member
- Jul 12, 2023
- 141
- 180
Joanvia.Joanvia na Abood Bus Services
Hii ip mkuu ndo gari ya speed dereva kanyoa fidodido. Acha tu nliwahi kushukia njian hii gari walikuwa wanapita round about na speed 40 pale makutano hadi abiria wakadondoka nikajianbia hakuna dereva humuNiliwahi safiri na basi la Kapricon , imepita miaka kadhaa sijui kama bado lina route hiyo
😁 ila kuna madereva wa mabasi wana mbwembwe sana.Hii ip mkuu ndo gari ya speed dereva kanyoa fidodido. Acha tu nliwahi kushukia njian hii gari walikuwa wanapita round about na speed 40 pale makutano hadi abiria wakadondoka nikajianbia hakuna dereva humu
Mkuu any feedback, nina safari ya huko soon.Update: Hey guys nishakata tikiti (online) kwa Johanvia... They have the best e-ticketing. Tomorrow, I'll be boarding the bus to Kanda Maalum. Kuna wenyeji huko?
I used Johanvia Bus services wako vizuri and the place is friendlyMkuu any feedback, nina safari ya huko soon.
Unaweza kucheck pia pale Shekilango kwa Happy Nation, wana mabasi mazuri pia full kiyoyodhi! Pia wana Wifi!Mkuu any feedback, nina safari ya huko soon.