Naomba kumjua huyu mlimbwende

Naomba kumjua huyu mlimbwende

Naukumbuka huo uzi niliweka picha zake zile za zamani za 2014 alivyokuwa wa kawaida FLAT Screen....Jana nimeenda kuangalia kafuta Zote kabakiza za 2017 baada ya kujidunga SILICONE.

Check Picha Alipiga July 2016 Alivyokuwa Flat Screen ila baada ya Mwaka Kafutuka Hips na Tako kama Lote.
View attachment 955430

Video vixen, PoshyQueen adai hawezi kutokea kwenye video ya msanii wa Bongo bila milioni 5 - JamiiForums
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mademu mnachotafuta mtakipata,,,
 
Hahahahahsh nimecheka sana aisee .

Huyu demu role model wake lazima wawe wale american strippers and porn stars akina Bunz4verv na kina Victoria cakes
Kawa abnormal kwa kuiga hips halina uwiano na inye.
 
Ukimcheki mama yake ni kama ana asili ya kitutsi...


Hapa nakuelewa, ila tusiwapachike sifa watu wanaoeleweka kuwa si wazuri. Tembea Mbeya yote, si rahisi kukuta Mnyakyusa mzuri kama yupo basi atakuwa a half cast si Mnyakyusa 100%
 
Wewe ni mwanamke wa kiume?
Wanaume wa Jf asilimia kubwa mnapenda sana wanawake wenye makalio makubwa ila akija shoga yenu mmoja kuponda wanawake wenye makalio...basi mashoga wooote mnajazana kwenye uzi wake kuwaponda wenye makalio wakati kutwa mko nasi Pm kuomba kutuona misambwanda yetu.

Mtapata tabu sana.
 
46314885_637848413297846_2577100712260502288_n.jpg
 
Back
Top Bottom