Naomba kumpa pole mke mkubwa wa mzee Hafidh Ameir mjane aliyetengwa na waombolezaji wakiwamo viongozi na dini

Naomba kumpa pole mke mkubwa wa mzee Hafidh Ameir mjane aliyetengwa na waombolezaji wakiwamo viongozi na dini

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Juzi huku kwetu Zanzibar tulipata msiba wa mzee wetu mzee hafidh ameir, mzee huyu ameondoka ameacha wajane wawili mjane mdogo ni Samia

Lakini wakuu cha kushangaza ni kwamba mjane huyu ambaye ni mke mkubwa katengwa na watu wote, machawa, viongozi wa kiasa hata ndugu wa karbu,

Lakin kinachouma zaid ni kwamba mjane huyu katengwa mpaka na viongozi wa dini ya kiislam kuanzia mufti zuberi mpaka wa chini yake

Katika KRISTO kubagua watu si sawa sijui kama dini ya kiislam inaruhusu ubaguzi kwa wafiwa

Kumekuwepo onesho la ubaguzi wa wazi wazi kabisa kwa mama huyu mjane bila sababu yeyote zaid ya umasikin wake

Soma Pia: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Je mama huyu anabaguliwa kwa kuwa hana cheo na hana uwezo wa kututea tuwe wakuu wa wilaya na mikoa?

Sasa basi mimi kama kateksta wa jamiiforum natoa pole sana kwa mama huyu mjane na andiko hili likawe faraja kwake na ajue kuwa watoto wake bado tunampenda sana

Eda njema mke mkubwa mjane wa mzee hafidh ameir

LONDON BOY
 
Mkuu umasikin ni mbaya sana huyu mama anabaguliwa waziwazi
Kinachosikitisha hadi viongozi wa dini wamembagua na hana kosa lolote na yeye ndo mke mkubwa
Protocal misled,ilipaswa wake zake wote wakae pamoja pahala penye viti vitatu au viwili ili pole zitolewe kwa wake wa mzee wetu kwa pamoja,upendo na mshikamano uwepo,mungu awajalie hekima wawe katika mshikamano THABITI,mungu ndicho anachopenda,insaaallah...alhamdulilaah!
 
Walitakiwa wakae wote hapo hapo. Wote ni wake wa Marehemu. Matanga yakiisha ndio kila mtu abaki kwenye mji wake, akae eda.
Kiutaratibu msiba ulitakiwa uwe kwa mke mkubwa, mama samia ndio alitakiwa aende kwa mke mkubwa, baada ya matanga aondoke, arudi kwake. Marehemu hakumtaliki mke mkubwa, ni mke wake halali.
Mke mkubwa ana haki ya kwenda kwa Kadhi (Mahakama ya kiislamu) kulalamika juu ya hili.
 
Back
Top Bottom