Tatizo uchawaProtocal misled,ilipaswa wake zake wote wakae pamoja pahala penye viti vitatu au viwili ili pole zitolewe kwa wake wa mzee wetu kwa pamoja,upendo na mshikamano uwepo,mungu awajalie hekima wawe katika mshikamano THABITI,mungu ndicho anachopenda,insaaallah...alhamdulilaah!
Kwa tabia hizi hupat kazi pale TBC hata kama inasoma Data BankLabda mjane mke mdogo anaweza kuua watu watakaokwenda kumpa pole mke mkubwa, c unajua tena ukishazoea kunywa damu za watu 😎
Nitakufa nikikosa kazi hapo?Kwa tabia hizi hupat kazi pale TBC hata kama inasoma Data Bank
Hahahaha nyanoko FazaHadi nimelia
Bi mdogo ana cheo kikubwa nchini, bi mkubwa hajulikani sana. Hata viongozi waliooa wake wengi ni mmoja tu ndio atakuwa officially, mfano ni Siti Mwinyi na Mwanamwema Shein
Umeshawahi kuona ht sura yake?Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Juzi huku kwetu Zanzibar tulipata msiba wa mzee wetu mzee hafidh ameir, mzee huyu ameondoka ameacha wajane wawili mjane mdogo ni Samia
Lakini wakuu cha kushangaza ni kwamba mjane huyu ambaye ni mke mkubwa katengwa na watu wote, machawa, viongozi wa kiasa hata ndugu wa karbu,
Lakin kinachouma zaid ni kwamba mjane huyu katengwa mpaka na viongozi wa dini ya kiislam kuanzia mufti zuberi mpaka wa chini yake
Katika KRISTO kubagua watu si sawa sijui kama dini ya kiislam inaruhusu ubaguzi kwa wafiwa
Kumekuwepo onesho la ubaguzi wa wazi wazi kabisa kwa mama huyu mjane bila sababu yeyote zaid ya umasikin wake
Soma Pia: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia
Je mama huyu anabaguliwa kwa kuwa hana cheo na hana uwezo wa kututea tuwe wakuu wa wilaya na mikoa?
Sasa basi mimi kama kateksta wa jamiiforum natoa pole sana kwa mama huyu mjane na andiko hili likawe faraja kwake na ajue kuwa watoto wake bado tunampenda sana
Eda njema mke mkubwa mjane wa mzee hafidh ameir
LONDON BOY
..hapana.
..Dr.Bilal ndiye aliyekuwa akiwatendea wake zake sawa kila wakati.
Ndio ni mdogo wangu. Mama Abdul kaja kuingilia ndoa ya Mdogo wangu sawa na mwanaye aliyekuja kuingilia ndoa ya Mchengerwa.Una uhusinao wa kindugu na huyo mke mkubwa?.
Ndio. Namjua ni mdogo wangu huyo mke mkubwa.Umesh
Umeshawahi kuona ht sura yake?
Ww mnafiki acha unafiki Mimi kama shehe simpi pole nampa pole mke mdogo tu kwamana aliyenacho huongezewa na asiyekuwa nacho hata kile alichonacho atanyang'anywa sawaExactly my question. Hii ya Rais tunaona kwa sababu ni public figure. Sio rahisi huyo mke mwingine kuangaziwa
kwa wanaojua maana ya ndoa, huyo ndiye mke halisi wa mzee.Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Juzi huku kwetu Zanzibar tulipata msiba wa mzee wetu mzee hafidh ameir, mzee huyu ameondoka ameacha wajane wawili mjane mdogo ni Samia
Lakini wakuu cha kushangaza ni kwamba mjane huyu ambaye ni mke mkubwa katengwa na watu wote, machawa, viongozi wa kiasa hata ndugu wa karbu,
Lakin kinachouma zaid ni kwamba mjane huyu katengwa mpaka na viongozi wa dini ya kiislam kuanzia mufti zuberi mpaka wa chini yake
Katika KRISTO kubagua watu si sawa sijui kama dini ya kiislam inaruhusu ubaguzi kwa wafiwa
Kumekuwepo onesho la ubaguzi wa wazi wazi kabisa kwa mama huyu mjane bila sababu yeyote zaid ya umasikin wake
Soma Pia: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia
Je mama huyu anabaguliwa kwa kuwa hana cheo na hana uwezo wa kututea tuwe wakuu wa wilaya na mikoa?
Sasa basi mimi kama kateksta wa jamiiforum natoa pole sana kwa mama huyu mjane na andiko hili likawe faraja kwake na ajue kuwa watoto wake bado tunampenda sana
Eda njema mke mkubwa mjane wa mzee hafidh ameir
LONDON BOY
Sasa mke mkubwa hana nini?Ww mnafiki acha unafiki Mimi kama shehe simpi pole nampa pole mke mdogo tu kwamana aliyenacho huongezewa na asiyekuwa nacho hata kile alichonacho atanyang'anywa sawa
PesaSasa mke mkubwa hana nini?
Walitakiwa wakae wote hapo hapo. Wote ni wake wa Marehemu. Matanga yakiisha ndio kila mtu abaki kwenye mji wake, akae eda.
Kiutaratibu msiba ulitakiwa uwe kwa mke mkubwa, mama samia ndio alitakiwa aende kwa mke mkubwa, baada ya matanga aondoke, arudi kwake. Marehemu hakumtaliki mke mkubwa, ni mke wake halali.
Mke mkubwa ana haki ya kwenda kwa Kadhi (Mahakama ya kiislamu) kulalamika juu ya hili.
Kwa tabia hizi hupat kazi pale TBC hata kama inasoma Data Bank