Naomba kumpa pole mke mkubwa wa mzee Hafidh Ameir mjane aliyetengwa na waombolezaji wakiwamo viongozi na dini

Naomba kumpa pole mke mkubwa wa mzee Hafidh Ameir mjane aliyetengwa na waombolezaji wakiwamo viongozi na dini

FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Ukute habaguliwi,kawaida watu wanamfata wanayemjua na wote tunajua anayejulikana hapo ni nani.Au ukute mama wa watu anapenda u low key kama mumewe.
 
Bi mdogo ana cheo kikubwa nchini, bi mkubwa hajulikani sana. Hata viongozi waliooa wake wengi ni mmoja tu ndio atakuwa officially, mfano ni Siti Mwinyi na Mwanamwema Shein
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Juzi huku kwetu Zanzibar tulipata msiba wa mzee wetu mzee hafidh ameir, mzee huyu ameondoka ameacha wajane wawili mjane mdogo ni Samia

Lakini wakuu cha kushangaza ni kwamba mjane huyu ambaye ni mke mkubwa katengwa na watu wote, machawa, viongozi wa kiasa hata ndugu wa karbu,

Lakin kinachouma zaid ni kwamba mjane huyu katengwa mpaka na viongozi wa dini ya kiislam kuanzia mufti zuberi mpaka wa chini yake

Katika KRISTO kubagua watu si sawa sijui kama dini ya kiislam inaruhusu ubaguzi kwa wafiwa

Kumekuwepo onesho la ubaguzi wa wazi wazi kabisa kwa mama huyu mjane bila sababu yeyote zaid ya umasikin wake

Soma Pia: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Je mama huyu anabaguliwa kwa kuwa hana cheo na hana uwezo wa kututea tuwe wakuu wa wilaya na mikoa?

Sasa basi mimi kama kateksta wa jamiiforum natoa pole sana kwa mama huyu mjane na andiko hili likawe faraja kwake na ajue kuwa watoto wake bado tunampenda sana

Eda njema mke mkubwa mjane wa mzee hafidh ameir

LONDON BOY
NDugu dunia na watu wake imebadilika sanaa wanaangalia una nini ndio tukufatee .

Hivyo wote hao wamemfuata kwa sababu kuna chakulaa
 
Back
Top Bottom