Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Mshana unatoboa hadi huku Mimi nilidhani unawezea Yale ya mila na desturi tu!!!!hahahaha congratulation mshana😀
Nimetoka jasho kwa Kuitafuta hii mada nikaikuta Google kuna mtu kajibinafsishia
 
Wanasema Tumechange.!

Kumbe Tumepitia Mengi hadi kua hapa.

Kijana Kijana Kijana
 
Najiona Kama Saa Ingine Nakosea Sana Kumbe Wapi Mi Ni Bonge La Bwana Umri Tu.
 
Mshana Jr,
Kwa muujibu wa maelezo yako,

Umri sahihi wa kuoa ni 30 +???
 
Pote nimesoma nilipofika hapo kwenye punyeto nikacheka sana kwamba upige ukiwa umezidiwa sana

Kweli chaputa ni kitu kingine kabisa
 
Nimependa ushauri wako
 
Umenigusa kaka,sijui baba au babu unaweza kuwa kwangu.ndugu mshana jr na nyuzi zako nying nazisoma sana na kujifunza.kwa huu wa leo umeongelea kitu na umri ambao naupitia na vitu vinanisumbuaga sana ni ivo ulivyovitaja kam confidence,mahusiano na kukata tamaa.kuanzia leo i will be brave and look forward up to my age of 30's years.thanksss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…