Asante sanaUmenigusa kaka,sijui baba au babu unaweza kuwa kwangu.ndugu mshana jr na nyuzi zako nying nazisoma sana na kujifunza.kwa huu wa leo umeongelea kitu na umri ambao naupitia na vitu vinanisumbuaga sana ni ivo ulivyovitaja kam confidence,mahusiano na kukata tamaa.kuanzia leo i will be brave and look forward up to my age of 30's years.thanksss
[emoji120] [emoji115] [emoji111] [emoji817]huku ni tofauti na Insta pamoja nakule uso wa kitabu lazima uondoke na some knowledge, Muche Grasious Amigo.
Inatia moyo na inanipa nguvu kujua kumbe bado nina uwezo wa kutoka hapa nilipo. Asante kwa maarifa
[emoji120] [emoji817] [emoji115]Classic lesson!