pamoja ndugu
Tena mkubwa ndugu, asante sanaNaamini nimekuwa msaada kwako
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Nawakaribisha kwa moto mmojqVijana mliolengwa na ujumbe huu, msiupuuze ufanyieni KAZI.
Ingependeza sana kama maswali yangekuwa mengi kwa mshana.
Hongera sana mshana Jr.
Nawakaribisha kwa moyo mmojaVijana mliolengwa na ujumbe huu, msiupuuze ufanyieni KAZI.
Ingependeza sana kama maswali yangekuwa mengi kwa mshana.
Hongera sana mshana Jr.
Smart phones zimeiba muda wa wengi1: Siku hizi wajomba na akina shangazi hawatoi haya mafunzo. Wengine hatuna jando wala kungwi.
2: Vikao vya jioni na akina babu hakuna.[emoji180]
[emoji115] [emoji120]nimejifunza kitu, japo nimezidi lakini nimejifunza kitu thnx