Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Kwa namba 4 Mshana ndio balaa lilipo, huwa nafkria sana future mpaka najikuta naogopa maisha
 
Vijana mliolengwa na ujumbe huu, msiupuuze ufanyieni KAZI.
Ingependeza sana kama maswali yangekuwa mengi kwa mshana.
Hongera sana mshana Jr.
 
Nawakaribisha kwa moto mmojq

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Vijana mliolengwa na ujumbe huu, msiupuuze ufanyieni KAZI.
Ingependeza sana kama maswali yangekuwa mengi kwa mshana.
Hongera sana mshana Jr.
Nawakaribisha kwa moyo mmoja

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
1: Siku hizi wajomba na akina shangazi hawatoi haya mafunzo. Wengine hatuna jando wala kungwi.
2: Vikao vya jioni na akina babu hakuna.[emoji180]
 
Smart phones zimeiba muda wa wengi

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
IMG-20170815-WA0016.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asnte sana mkuu,na mm naona umhim wa kutumia moja kat ya mapumzko yangu kuperuz jF,naomba usichoke ktk kutupatia Elimu kamà hiyo maana tupo humu kwa ajil ya kujifunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom