Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Nishapita huko kitambo sana hasa hasa hio ya 4: ilinizingua sana hadi kuwekwa selo
 
Bro leo umeongea kitu poa sana big up,
Ukiwa una kua huku unajua nini utakiwa ufanye kiukweli unakuwa na strong mind sana kitu kikubwa kwetu sie vijana tuwe na ile hali ya kuamka sina maana ya kutoka kitandani laa ila kwenye ndoto ambayo tunaota wakati tupo macho.
 
Lecture kama hizi me zinapita hivi [emoji117] [emoji117] [emoji117]

Nasimama mwenyewe na kufanya kile ninachopenda katika moyo wangu, sifuati ushauri wa mtu.

Mshana bhana... [emoji4]
 
Leo umeweka laini maana nikishaona uzi wako ako najuaga ni ngum kumeza
Big up Jr
 
Lecture kama hizi me zinapita hivi [emoji117] [emoji117] [emoji117]

Nasimama mwenyewe na kufanya kile ninachopenda katika moyo wangu, sifuati ushauri wa mtu.

Mshana bhana... [emoji4]
Hongera sana
 
Alafu bro kuna masoma kama Ego, spirituality!. naomba uazishe uzi tupeane maufundi kidogo maana kuna vitu vijana wengi tunasahau kujifunza
 
Lakin mbona tunapendwa sana na hao madada wenye 30+?
Wengine tumepitia mambo mengi pia ambayo huenda mtu akawa na 50 lakini bado hajawahi kupitia level hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…