Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

asante mkuu tutajifunza na kurekebisha tulipokosea

Japo ilikuwa ya ME ila pamenifaa shukrani Mkuu.
Mna sehemu yenu muhimu hapa mabinti wengi ndoto zao zimekatishwa katika umri wa 18-25 na hii yote inatokana na kuingia kwenye usichana bila maandalizi
Kuiga na kutaka makubwa bila uwezo kumewaharibia wengi
Vifo
Mimba za utotoni
Kuharibika vizazi
Wizi na matumizi ya madawa na vilevi (kwa jinsia zote mbili)
Broken hearts in the first love experience (ina impact mbaya sana hii)
Na kwa bahati mbaya sana hakuna vipindi vya kufundisha haya mambo mashuleni wala walimu wa saikolojia, sana sana utafundishwa kutumia kondomu na kujikinga na mimba
Vipindi vya kidini navyo ni vya kukariri huku vikiepuka kabisa kuongelea mambo haya kwa uwazi
Wazazi na walezi wako busy na maisha na changamoto zake hawana muda wa kujadili haya...hao wenye muda huko vijijini ni kufundishwa unyago jinsi ya kumridhisha mwanaume na kukata viuno
Mwisho wa siku wengi hujikuta mwalimu wao ni dunia tena baada ya kuingizwa chaka
 
Yani serikali ya awamu ya tano ina kazi kubwa kweli kweli, basi mie nikajua umeleta mchongo wa kupiga pesa mkuu, kumbe ni mchongo wa kupiga "K" dah..
JOB TRUE TRUE MAZEE....! 😱😱😱
 
Hongera kwa ushauri wako kwao,ila hapo namba 3 ama umedanganya bila kujua au umepitiwa tu,its not true kuwa huwezi kumridhisha msichana wa age hiyo ukiwa ktk age unayoisema kwa vijana atleast ungesema labda kwa baadhi ya wasichana
Bahati mbaya sikufafanua lakini hilo tatizo kwa sehemu kubwa sana hutokea katika kipindi hicho , nimeandika kwa ujumla wake tuu na isingekuwa rahisi kwenda kwa details kama hivyo japo kuna impact zake
 
Ok mkuu nimekusoma
 
Yani serikali ya awamu ya tano ina kazi kubwa kweli kweli, basi mie nikajua umeleta mchongo wa kupiga pesa mkuu, kumbe ni mchongo wa kupiga "K" dah..
JOB TRUE TRUE MAZEE....! 😱😱😱
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umeangalia mlangoni pameandikwaje lakini? Huku ni ukumbi wa MMU sio kule kwenye mambo yetu yale ya uchumi na politricks
Naamini ulivyoona tu new post hukuhangaika kuangalia mlangoni pana chata gani
 
Utu uzima dawa mnakopita sasa sisi tulishapita salama, lakini kuna uhitaji wa kukumbushana machache kupeana mbinu na kutiana moyo pia (hapa kwa sehemu hata wadogo zangu wa kike watahusika)
Naongelea mabadiliko ya makuzi kihomoni kimtazamo kimahusiano na kifikra pia
Kwanza lazima niwapongeze kwa uamuzi wenu wa hiari wa kuachana au kutoka kwenye mitandao mingine isiyo na faida wala tija na kuja kujiunga JF penye kisima cha maarifa ujuzi na hata ushauri
Niwapongeze pia wengi wenu kwakuwa wawazi kwa yale mnayopitia, wengi wenu hamfahamu kuwa ni sehemu ya makuzi hivyo kujaa hofu na woga mwingi hasa kwenye maeneo haya
1.Haiba- hapa kila mmoja anajitahidi awezavyo ili aonekane wa kisasa kwa mavazi lugha na hata mikogo mingineyo, kukosa baadhi ya hivyo vitu husababisha maumivu makubwa sana bila kutambua kuwa wakati wako wa kupata bado
2.Ukakamavu/confidence ya kuongea na hadhira au jinsia tofauti, hapa ni kimbembe, wengi hujichukia na kujistukia na hivyo kusababisha kujitenga na jamii muda mwingi kwa kudhani wengine wanajiona bora au ni mahiri kuliko wao!hiki ni kipindi tu na kitapita....lakini siri ya kuongea na hadhira ni kutowaangalia watu machoni bali kuwaangalia juu ya macho yao kwenye paji la uso
3. Mahusiano . kipengele hiki ni muhimu sana na hapa namaanisha kwenye ishu nzima ya kufanya mapenzi. Asikudanganye mtu mapenzi utayajua baada ya kuvuka miaka 30..hapo utakuwa umewazoea na kuwafahamu wanawake na utakuwa huna hofu tena...wengi sana hapa wanalalamika kukosa nguvu au kumaliza haraka hii yote inaletwa na hofu na mara nyingi kudate mpenzi ambaye tayari keshakutana na wataalam, usitegemee kamwe katika miaka yako 26 umridhishe mwanamke wa 18-23 atakuwa anakuibia tuu
2f86b25967a46f4e7000116a585bef02.jpg

Mabinti wengi below 25 wapenzi wao ni 35+years hapo huwezi weka ligi
Kinachowatisha wengi ni story za wanawake kufikishwa kileleni au kupiga show 30 nonstop wakati wewe dak5 nyingi usihofu muda wako bado wewe bado mchanga hujakomaa
Lakini vile vile kuna wakati maungo yako huhitaji mapumziko hii hutokea yenyewe automatically ndio maana kuna wakati unakuwa na ashiki sana na kuna wakati unakuwa kama hanithi usitishike
Jitahidi mazoezi epuka vyakula vya mafuta na makopo, jizuie kadiri uwezavyo kupiga punyeto labda mpaka uzidiwe sana
7a426246fd98a6d03e3c266e7e110d6a.jpg

4. Uko kwenye kipindi cha kuingia ukubwani, kwahiyo akili ya kiutu uzima inafunguka, hii hali huja na side effects kama za mama mjamzito , hasira za ghafla kukata tamaa kulia au kutamani kulia kuzira kujitenga kuwa mtu wa mawazo muda mwingi ni vitu visivyoepukika
Hapa ndipo unapojishape kuwa wewe wa kesho kwahiyo jitahidi sana yanapokutokea haya usiyaendekeze, vijana wengi huwin na kushindwa hapa ukiyapuuza na kusonga mbele mafanikio yako yataanzia hapo uyachukulia kuwa ndio sehemu ya maisha yako kushindwa kwako kutaanzia hapo
Kama bado uko below 30 usiangalie mwili ulio nao bali jipange kwakuwa hii ndio hatua muhimu ya kuwa wewe wa kesho mustakabali wako umeubeba mwenyewe
decdd0ee21928acc5bbf4b8eefe0b405.gif

Kweli ukubwa dawa, big up bro
 
....hii idea umeipata somewhere i think yesterday!, big up kwa kuiendeleza!
 
Kweli nyani mzee amekwepa mishale mingi sana, so ana uzoef wa pori na wawindaji.

Big brother.

Kwa exprienc yako, umri huo ulio utaja hapo juuu. Kijana anatakiwa kuwaza nini hasa? Kuweka mkazo kwenye nini? Upande wa social life na personal dev??
 
Hiki ndio kipindi sahihi cha kuenjoy maisha ya ujanani kujaribu kila kitu sio vitu vibaya kufahamu kila kitu vikiwemo vibaya
Ndio kipindi cha kusoma sana na kutimiza hobby zako kama ni kusafiri michezo nk....kwakuwa huko uendako ni ukubwani kwenye majukumu ma changamoto unaweza kufanya mengi pia lakini msingi wake ni hapa huko mbeleni ni mwendelezo tu
 
Utu uzima dawa mnakopita sasa sisi tulishapita salama, lakini kuna uhitaji wa kukumbushana machache kupeana mbinu na kutiana moyo pia (hapa kwa sehemu hata wadogo zangu wa kike watahusika)
Naongelea mabadiliko ya makuzi kihomoni kimtazamo kimahusiano na kifikra pia
Kwanza lazima niwapongeze kwa uamuzi wenu wa hiari wa kuachana au kutoka kwenye mitandao mingine isiyo na faida wala tija na kuja kujiunga JF penye kisima cha maarifa ujuzi na hata ushauri
Niwapongeze pia wengi wenu kwakuwa wawazi kwa yale mnayopitia, wengi wenu hamfahamu kuwa ni sehemu ya makuzi hivyo kujaa hofu na woga mwingi hasa kwenye maeneo haya
1.Haiba- hapa kila mmoja anajitahidi awezavyo ili aonekane wa kisasa kwa mavazi lugha na hata mikogo mingineyo, kukosa baadhi ya hivyo vitu husababisha maumivu makubwa sana bila kutambua kuwa wakati wako wa kupata bado
2.Ukakamavu/confidence ya kuongea na hadhira au jinsia tofauti, hapa ni kimbembe, wengi hujichukia na kujistukia na hivyo kusababisha kujitenga na jamii muda mwingi kwa kudhani wengine wanajiona bora au ni mahiri kuliko wao!hiki ni kipindi tu na kitapita....lakini siri ya kuongea na hadhira ni kutowaangalia watu machoni bali kuwaangalia juu ya macho yao kwenye paji la uso
3. Mahusiano . kipengele hiki ni muhimu sana na hapa namaanisha kwenye ishu nzima ya kufanya mapenzi. Asikudanganye mtu mapenzi utayajua baada ya kuvuka miaka 30..hapo utakuwa umewazoea na kuwafahamu wanawake na utakuwa huna hofu tena...wengi sana hapa wanalalamika kukosa nguvu au kumaliza haraka hii yote inaletwa na hofu na mara nyingi kudate mpenzi ambaye tayari keshakutana na wataalam, usitegemee kamwe katika miaka yako 26 umridhishe mwanamke wa 18-23 atakuwa anakuibia tuu
2f86b25967a46f4e7000116a585bef02.jpg

Mabinti wengi below 25 wapenzi wao ni 35+years hapo huwezi weka ligi
Kinachowatisha wengi ni story za wanawake kufikishwa kileleni au kupiga show 30 nonstop wakati wewe dak5 nyingi usihofu muda wako bado wewe bado mchanga hujakomaa
Lakini vile vile kuna wakati maungo yako huhitaji mapumziko hii hutokea yenyewe automatically ndio maana kuna wakati unakuwa na ashiki sana na kuna wakati unakuwa kama hanithi usitishike
Jitahidi mazoezi epuka vyakula vya mafuta na makopo, jizuie kadiri uwezavyo kupiga punyeto labda mpaka uzidiwe sana
7a426246fd98a6d03e3c266e7e110d6a.jpg

4. Uko kwenye kipindi cha kuingia ukubwani, kwahiyo akili ya kiutu uzima inafunguka, hii hali huja na side effects kama za mama mjamzito , hasira za ghafla kukata tamaa kulia au kutamani kulia kuzira kujitenga kuwa mtu wa mawazo muda mwingi ni vitu visivyoepukika
Hapa ndipo unapojishape kuwa wewe wa kesho kwahiyo jitahidi sana yanapokutokea haya usiyaendekeze, vijana wengi huwin na kushindwa hapa ukiyapuuza na kusonga mbele mafanikio yako yataanzia hapo uyachukulia kuwa ndio sehemu ya maisha yako kushindwa kwako kutaanzia hapo
Kama bado uko below 30 usiangalie mwili ulio nao bali jipange kwakuwa hii ndio hatua muhimu ya kuwa wewe wa kesho mustakabali wako umeubeba mwenyewe
decdd0ee21928acc5bbf4b8eefe0b405.gif
ahsante kaka Mshana Jr
 
ahsante kaka kunakipengele hapo cha kuwa wazazi kwa maisha tunayopitia hii umemaanisha kutunza familia ya uyatima au kuwa na mtoto au watoto wa kuwazaa niweke sawa kaka.
 
Kipengele cha kuwa wazazi kwa maisha tunayopitia umemaanisha nini? ,fafanua.
 
Mzazi kwa maana ya kuwa na watoto wa kuwazaa wengine wa kufikia ikiwa ni pamoja na kuwa mlezi, kwa ufupi kuwa mzazi kwa muktadha huu ni kubeba majukumu yote ya kifamilia na wote wanaokutegemea
 
Back
Top Bottom