Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi lakini sio kwa umri wa 18-30, huu ni umri ambao mengi sana yanatokea kwa wakati mmoja na mind haiko settled...umri unamaanisha wewe ni 31-49 hiki ndio kipindi cha ujirali kamili (figures zinaweza kutofautiana kidogo)kulingana na kipato na changamoto za mtuNakubaliana na wewe kwa asilimia kadhaa japo nikukosoe kidogo kwenye kipengele cha " uwezo wa kumfikisha na kumrisha mwanamke" ikumbukwe kwamba kadiri unakua misuri (nyama) inazeeka pia kijana mwenye afya nzuri na ambaye yuko energetic anao uwezo kutumia mda mwingi wakati wa tendo kuliko..... japo zipo sababu na matendo mengine ikiwepo ya maumbile, lishe, mazoezi Vila kusahau punyeto.
Naomba mwendelezo wake uwe wa picha zaidi na kwa mtindo wa kujibu maswali. ..kwa mfano kwa sehemu kubwa ya post summary yake waweza ipata hapa lakini kukiwa na mengine ya ziadaMkuu kama vile ulikuwa unataka kuuendelea kuandika. Ushauri wako kama umeishia katikati hivi. Ulipoanza kunoga ndipo ulipo ishia
Kwa moyo wa Shukrani nasema asante sanaukisikia unaitwa kaka, dada au mkubwa wangu ucfikili ni jina wala cheo bali ni hekima, busara na uctalabu c wote waitwao hvyo wanactahili kuitwa hivyo ila ww BRO MSHANA NASEMA ASANTE SNA