Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya legendary [emoji1]somo zuri
wasubiri kwanza
Stress ni sumu mbaya sana kwa erection, hata walioko kwenye ndoa wanakutana na hii kitu
Ndio maana kuepusha matatizo ndani ya mahusiano inabidi uwe muwazi kwa mwenza wako ili ajue kabisa kuwa ukiwa katika mazingira fulani magumu performance inashuka viwangoNilikutana na hiyo hali Bro Mshana kipindi mambo yangu hayaendi kabisa....nilikuwa nafanya tu physically lakini mentality nilikuwa sipo kabisa pale yani nguvu ya stress mbaya sana
Ndio maana kuepusha matatizo ndani ya mahusiano inabidi uwe muwazi kwa mwenza wako ili ajue kabisa kuwa ukiwa katika mazingira fulani magumu performance inashuka viwango
Asante mkuuuUtu uzima dawa mnakopita sasa sisi tulishapita salama, lakini kuna uhitaji wa kukumbushana machache kupeana mbinu na kutiana moyo pia (hapa kwa sehemu hata wadogo zangu wa kike watahusika) Naongelea mabadiliko ya makuzi kihomoni kimtazamo kimahusiano na kifikra pia kwanza lazima niwapongeze kwa uamuzi wenu wa hiari wa kuachana au kutoka kwenye mitandao mingine isiyo na faida wala tija na kuja kujiunga JF penye kisima cha maarifa ujuzi na hata ushauri niwapongeze pia wengi wenu kwakuwa wawazi kwa yale mnayopitia, wengi wenu hamfahamu kuwa ni sehemu ya makuzi hivyo kujaa hofu na woga mwingi hasa kwenye maeneo haya.
1.Haiba- hapa kila mmoja anajitahidi awezavyo ili aonekane wa kisasa kwa mavazi lugha na hata mikogo mingineyo, kukosa baadhi ya hivyo vitu husababisha maumivu makubwa sana bila kutambua kuwa wakati wako wa kupata bado
2.Ukakamavu/confidence ya kuongea na hadhira au jinsia tofauti, hapa ni kimbembe, wengi hujichukia na kujistukia na hivyo kusababisha kujitenga na jamii muda mwingi kwa kudhani wengine wanajiona bora au ni mahiri kuliko wao!Hiki ni kipindi tu na kitapita lakini siri ya kuongea na hadhira ni kutowaangalia watu machoni bali kuwaangalia juu ya macho yao kwenye paji la uso
3. Mahusiano kipengele hiki ni muhimu sana na hapa namaanisha kwenye ishu nzima ya kufanya mapenzi. Asikudanganye mtu mapenzi utayajua baada ya kuvuka miaka 30 hapo utakuwa umewazoea na kuwafahamu wanawake na utakuwa huna hofu tena wengi sana hapa wanalalamika kukosa nguvu au kumaliza haraka hii yote inaletwa na hofu na mara nyingi kudate mpenzi ambaye tayari keshakutana na wataalam, usitegemee kamwe katika miaka yako 26 umridhishe mwanamke wa 18-23 atakuwa anakuibia tuu.![]()
Mabinti wengi below 25 wapenzi wao ni 35+years hapo huwezi weka ligi
Kinachowatisha wengi ni story za wanawake kufikishwa kileleni au kupiga show 30 nonstop wakati wewe dak5 nyingi usihofu muda wako bado wewe bado mchanga hujakomaa.
Lakini vile vile kuna wakati maungo yako huhitaji mapumziko hii hutokea yenyewe automatically ndio maana kuna wakati unakuwa na ashiki sana na kuna wakati unakuwa kama hanithi usitishike jitahidi mazoezi epuka vyakula vya mafuta na makopo, jizuie kadiri uwezavyo kupiga punyeto labda mpaka uzidiwe sana![]()
4. Uko kwenye kipindi cha kuingia ukubwani, kwahiyo akili ya kiutu uzima inafunguka, hii hali huja na side effects kama za mama mjamzito, hasira za ghafla kukata tamaa kulia au kutamani kulia kuzira kujitenga kuwa mtu wa mawazo muda mwingi ni vitu visivyoepukika.
Hapa ndipo unapojishape kuwa wewe wa kesho kwahiyo jitahidi sana yanapokutokea haya usiyaendekeze, vijana wengi huwin na kushindwa hapa ukiyapuuza na kusonga mbele mafanikio yako yataanzia hapo uyachukulia kuwa ndio sehemu ya maisha yako kushindwa kwako kutaanzia hapo
Kama bado uko below 30 usiangalie mwili ulio nao bali jipange kwakuwa hii ndio hatua muhimu ya kuwa wewe wa kesho mustakabali wako umeubeba mwenyewe.
![]()
Mkuu heshima yako.Utu uzima dawa mnakopita sasa sisi tulishapita salama, lakini kuna uhitaji wa kukumbushana machache kupeana mbinu na kutiana moyo pia (hapa kwa sehemu hata wadogo zangu wa kike watahusika) Naongelea mabadiliko ya makuzi kihomoni kimtazamo kimahusiano na kifikra pia kwanza lazima niwapongeze kwa uamuzi wenu wa hiari wa kuachana au kutoka kwenye mitandao mingine isiyo na faida wala tija na kuja kujiunga JF penye kisima cha maarifa ujuzi na hata ushauri niwapongeze pia wengi wenu kwakuwa wawazi kwa yale mnayopitia, wengi wenu hamfahamu kuwa ni sehemu ya makuzi hivyo kujaa hofu na woga mwingi hasa kwenye maeneo haya.