Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Ahsante Mshana, Somo limeeleweka keshokutwa ulete Mtihani tufanye.
 
Kumbe confidence ni ukakakamavu. Nilikuwa najua kuwa confidence ni ujasiri kwa lugha ya kiswahili.
 
Imekaa poa hii
 
Mimi hapa kwa kuongezea kidogo mindset ndo mchawi mkubwa hapa. Yaan ukiwa na mindset ya kwamba mimi ni mbaya kwa mfano, utaanza tu automatically kufanya vitu vitakavyokufanya uwe mbaya kweli ili mradi theory yako uliyojiwekea mimi mbaya iwe proved. Au ukasema mimi mademu wazuri siwezi kuwatongoza itakuwa hivyo hivyo utaanza kujitenga nao automatically ili theory yako au maneno yako yatimia. Kama ilivyo maneno yanaumba na pia theories na principles kama sijakosea zimewekwa ili ziwe proved. Always speak good about yourself and the universe will bring good news and good things to you.
 
Perception creates reality...uwazalo huwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…