Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

asante mkuu tutajifunza na kurekebisha tulipokosea

Japo ilikuwa ya ME ila pamenifaa shukrani Mkuu.
Mna sehemu yenu muhimu hapa mabinti wengi ndoto zao zimekatishwa katika umri wa 18-25 na hii yote inatokana na kuingia kwenye usichana bila maandalizi
Kuiga na kutaka makubwa bila uwezo kumewaharibia wengi
Vifo
Mimba za utotoni
Kuharibika vizazi
Wizi na matumizi ya madawa na vilevi (kwa jinsia zote mbili)
Broken hearts in the first love experience (ina impact mbaya sana hii)
Na kwa bahati mbaya sana hakuna vipindi vya kufundisha haya mambo mashuleni wala walimu wa saikolojia, sana sana utafundishwa kutumia kondomu na kujikinga na mimba
Vipindi vya kidini navyo ni vya kukariri huku vikiepuka kabisa kuongelea mambo haya kwa uwazi
Wazazi na walezi wako busy na maisha na changamoto zake hawana muda wa kujadili haya...hao wenye muda huko vijijini ni kufundishwa unyago jinsi ya kumridhisha mwanaume na kukata viuno
Mwisho wa siku wengi hujikuta mwalimu wao ni dunia tena baada ya kuingizwa chaka
 
Yani serikali ya awamu ya tano ina kazi kubwa kweli kweli, basi mie nikajua umeleta mchongo wa kupiga pesa mkuu, kumbe ni mchongo wa kupiga "K" dah..
JOB TRUE TRUE MAZEE....! 😱😱😱
 
Hongera kwa ushauri wako kwao,ila hapo namba 3 ama umedanganya bila kujua au umepitiwa tu,its not true kuwa huwezi kumridhisha msichana wa age hiyo ukiwa ktk age unayoisema kwa vijana atleast ungesema labda kwa baadhi ya wasichana
Bahati mbaya sikufafanua lakini hilo tatizo kwa sehemu kubwa sana hutokea katika kipindi hicho , nimeandika kwa ujumla wake tuu na isingekuwa rahisi kwenda kwa details kama hivyo japo kuna impact zake
 
Ok mkuu nimekusoma
 
Yani serikali ya awamu ya tano ina kazi kubwa kweli kweli, basi mie nikajua umeleta mchongo wa kupiga pesa mkuu, kumbe ni mchongo wa kupiga "K" dah..
JOB TRUE TRUE MAZEE....! 😱😱😱
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umeangalia mlangoni pameandikwaje lakini? Huku ni ukumbi wa MMU sio kule kwenye mambo yetu yale ya uchumi na politricks
Naamini ulivyoona tu new post hukuhangaika kuangalia mlangoni pana chata gani
 
Kweli ukubwa dawa, big up bro
 
....hii idea umeipata somewhere i think yesterday!, big up kwa kuiendeleza!
 
Kweli nyani mzee amekwepa mishale mingi sana, so ana uzoef wa pori na wawindaji.

Big brother.

Kwa exprienc yako, umri huo ulio utaja hapo juuu. Kijana anatakiwa kuwaza nini hasa? Kuweka mkazo kwenye nini? Upande wa social life na personal dev??
 
Hiki ndio kipindi sahihi cha kuenjoy maisha ya ujanani kujaribu kila kitu sio vitu vibaya kufahamu kila kitu vikiwemo vibaya
Ndio kipindi cha kusoma sana na kutimiza hobby zako kama ni kusafiri michezo nk....kwakuwa huko uendako ni ukubwani kwenye majukumu ma changamoto unaweza kufanya mengi pia lakini msingi wake ni hapa huko mbeleni ni mwendelezo tu
 
ahsante kaka Mshana Jr
 
ahsante kaka kunakipengele hapo cha kuwa wazazi kwa maisha tunayopitia hii umemaanisha kutunza familia ya uyatima au kuwa na mtoto au watoto wa kuwazaa niweke sawa kaka.
 
Kipengele cha kuwa wazazi kwa maisha tunayopitia umemaanisha nini? ,fafanua.
 
Mzazi kwa maana ya kuwa na watoto wa kuwazaa wengine wa kufikia ikiwa ni pamoja na kuwa mlezi, kwa ufupi kuwa mzazi kwa muktadha huu ni kubeba majukumu yote ya kifamilia na wote wanaokutegemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…