Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Unajua tunawafaidisha sana wauza viagra kwa tatizo ambalo halipo na kinyume chake ndio tunaanzisha tatizo
Pamoja na ukweli kwamba kuna wenye matatizo genuine ya weak erection na early ejaculation lakini kwa sehemu kubwa ni woga na mbinyo wa mawazo ndio husababisha hii hali
 
imekaa vizur but kuna ka uselfish namna flan...uwezo wa kulidhisha mtu!!! 20-29 hana uwezo wa kumpandisha mtu mlima?...kuzoea mahusiano ni umri? au xperience na namna mhusika anavyoyachukulia mahusiano....maana kuna watu wazima/30+ wanalia lia kama kinanda cha kigango.

Goood for number 4.
 
Nilichoandika ni general overview ambayo ndani yake hakukosekani casualties....lakini nitajitahidi kujibu pale itakapotokea ufafanuzi wa kina ukihitajika
 
hivi ndivyo social media inapaswa kutumiwa ...hongera sana mzee mwenzangu ushauri wako nimeupata umeniongezea kitu kikubwa sana....NAKUOMBEA MAISHA MAREFU NAKUTAKIA AMANI NA BARAKA
 
namba 3 uongo kwa kuwa vibabu mnapenda vibinti so unahalalisha ...35 kwa 21 si ubakaji ...je unazungumziaje mwanamke mwenye umri mkubwa halafu mwanaume umri mdogo ..so love haina umri siku zote ukija kuangaliaa na kutathimin
 
namba 3 uongo kwa kuwa vibabu mnapenda vibinti so unahalalisha ...35 kwa 21 si ubakaji ...je unazungumziaje mwanamke mwenye umri mkubwa halafu mwanaume umri mdogo ..so love haina umri siku zote ukija kuangaliaa na kutathimin
Sijazungumzia love wala ubakaji nimezungumzia tendo la kufanya ngono na uzoefu wake
 
Nashukuru kaka@mshana jr
 
Sijazungumzia love wala ubakaji nimezungumzia tendo la kufanya ngono na uzoefu wake
okay ila nataka nikuambie mfano mim am 26 ila katika tendo kufanya na uzoefu na mzidi hata wa 40.. so wazee naweza kusema wanauzoefu wa miaka ming ila weng waooffff mfano kuna siku mzee kaja kununua viagra phamacy na kuna mwingine ni 37 above nae vilevile so mazingira yanaplay nafasi ..ungesema kuhusu hela wenye umri mkubwa ndo wana pesa sana na ndio pride yao inayotufanya vijana tuonekane ktk mapenz bado but sio ivo kwa wote labda wa dsm njoo mikoani ujue maisha yakoje vijana wako vema japokuwa money empty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…