Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Nashukuru sana Mshana Jr,zote zimenigusa Lakini hiyo number 2 daa! ni shida sana nikiwa Chuo kwenye presentation! But nimejifunza kitu
 
Ahsante Kaka Mshana. Tumepokea, Tumejifunza. Sasa ni kulifanyia kazi. Tena hapo pa Wanawaka wengi wanapenda kudate Wanaume above 35 Your Right Bro. Stay Blessed.
 
Ni kweli kabisa Mshana Junior. Katika maisha matamanio ya mwanamke katika tendo la ndoa ni kubwa sana kuliko wanaume na ndio maana wanaume wengi tunajikuta tumeshamaliza tendo mapema zaidi ya mwanamke. Umri nao ni kigezo kikubwa sana.

Ndio maana mwanamke wa Umri wa miaka 20 akiwa na kijana ambae kamzidi miaka 10. Wanakuwa kama wanaendana. Ni kweli kabisa kama mwanamke wa miaka 30 kuingia katika mahusiano na mwanaume wa Umri wake apo kuna kuwepo na kudharauriana na kuchokana mapema
 
Hii uliyoandika kaka mshana ni zaidi ya album atakazo toa msanii wa bongo fleva wa sasa.. Mungu akupe miaka mingine mingi utupe vitu vikali zaidi.
 
Nmekuelewa Mtani. Mimi nipo mwishoni, nimepitia, nimeona, nashukuru Mungu nimejifunza kuliko kuharibikiwa. Umeandika sense advice. Thank you
 
Mshana jr,pia kukubaliana na matokeo na hali halisi za maisha kwa kundi hili ni kitu muhimu sana.Huku wakitafuta juhudi halali/chanya katika kujiweka sawa kimaisha.Wasipofanya hivo watajikuta katika utafutaji usio halali then kuangukia pabaya kabisa na kupotea.
 
Asante mkuu ila no.1 haiba(personality) unaweza kuelezea zaidi maana ndipo penye mzizi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…