Naomba kuongea na wanawake wenzangu ambao wapo kwenye ndoa na ambao mna matarajio ya kuja kuolewa

Naomba kuongea na wanawake wenzangu ambao wapo kwenye ndoa na ambao mna matarajio ya kuja kuolewa

Umeolewa halafu 95% ya rafiki zako ni wanaume!!mume gani anaruhusu mke wake awe na company ya kiume tu?

Kuna mawili....hujaolewa ama ni kweli umeolewa lakini mumeo hakupendi

Hata hivyo ujumbe wako umefika​
Mume ananipenda na ndo.maana akanioa na alinikuta nina marafiki wa kiume
 
W
Ungejua jinsi mwanaume unapokuwa na UH+ unavyomuandaa mkeo na kumbembeleza usingeniita mbinafsi. Mnaboa wakati mwingine mnaifanya iwe kama silaha. Kumuandaa mke wako ni kazi yako au yake. Je, mimi nani ananiandaa?
Woteee muandaane
 
Mwanamke mwenye.wivu mtafutie mchepuko mbona atapoa tu na kuomba poo
Umesema ukweli wanawake mna midomo mno mpaka watu tunawaza kuchepuka. Unakuta imechelewa kurudi utasikia ulikuwa wapi , maneno kibao yasiyo na mana Yani.
Mke wangu ana wivu mpaka anaumwa kichwa kwa vitu visivyokuwa na mana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
58f6f00f-8ebe-47a7-ad12-772554dc2891.jpg
sawa nimeelewa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna mahaba utanionyesha nikaacha kuchepuka

ukitaka nisichepuke,show me jinsi gani unaweza fight

hata kama nikifa leo mali /pesa zangu hazitopeperuka

fanya kazi kwa bidii ingiza pesa,asee nikichepuka ntakua nimelogwa.
 
Hamna mahaba utanionyesha nikaacha kuchepuka

ukitaka nisichepuke,show me jinsi gani unaweza fight

hata kama nikifa leo mali /pesa zangu hazitopeperuka

fanya kazi kwa bidii ingiza pesa,asee nikichepuka ntakua nimelogwa.
We chalii bana, Sawa
 
Unafaa kuwa kungwi. Hongera sana ni wanawake wachahche sana wenye akili kama yako, wengine huamua kulipiza na ndo mambo huharibika zaidi
Amani iwe nanyi..

Nawaombeni radhi kama ntakuwa nimewakwazaa.

Wanawake wenzangu.mimi ni msichana na huwa nina marafiki wengi sana wakiume.

Marafiki wa kike sina mazoea nao saana.coz hawawezi kukisaidia plus wivu hata kitu kidogo tu.

Katika marafiki zangu wengi ambao ninao wakiume 95% huwa wanasema wake zao ndo chanzo cha kumfanya mwanaume awe na mchepuko ,mmoja au zaidi..

Sanasana mmoja,Mwanaume akiwa na wanawake wengi nae ni malaya tuhuuu[emoji85][emoji85]..

Wanawake wenzangu tulioolewa tunakwama wapi jomoni...
Embu tuache midomo isiyo na faida kwa wanaume zetu bana.
Mimi nimeacha baada ya kuchepukiwa[emoji21]

Nimejifunza ustaarabu mpaka anashangaa huyu mwanamke kulikoni...nilipogundua anamchepuko sijamuuliza ,sijagombana nae,japo alijua nimejua,,

Niliamua kumrudisha mume wangu kwa vitendo tu.mahaba kama yoteee..
Sasa mchepuko unalalamika baby hamjali...

Wanawake acheni midomo..tuwapeti waume zetu.
Wanaume ni kama watoto vile jitahidi kumjali na kumsuprise na mahaba motomoto kila siku...natamani niyaandike hata mahaba yenyewe hapa ya chumbani ninayompa, mpaka anatoa mimacho tuh[emoji849]. ..[emoji85][emoji85] jokes.

Pulus vimaneno hata kama humpendi ,jitahidi hivyohivyo ili asichepuke...
Baby,sweet,love,mahabuba nk..

Mwanaume unamwita nyongo mkalia ini inahusu....
Mimi baby wangu sasa kabadilika .akitoka kazini brek ya kwanza nyumbani.... Japo niliumia ila nilijua tatizo ni mimi.

Sasa wewe jifanye unamdomo ,
Na wanandoa wana kawaida ya kuchokana, wanaume wanakawaida ya kukomoa,

Kama hujaletewa mke wa.pili japo kanisa haliruhusu......... Kazi kwako[emoji1751]
Pia msijibweteke tafuteni kitu cha kufanya maana wanakawaida ya manyanyaso wanae
Mapovu ruhsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Mimi mke wangu ni mbinafsi hataki nishinde vijiweni na kujumuika na wanamichezo wenzangu. Ananivizia mda nao Rudi job. Eti nae ndo anaenda sokoni nia na madhumuni tuongozane kurudi home . Mpaka nahitaji apewe kitchen party

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom