Naomba kuongea na wanawake wenzangu ambao wapo kwenye ndoa na ambao mna matarajio ya kuja kuolewa

Naomba kuongea na wanawake wenzangu ambao wapo kwenye ndoa na ambao mna matarajio ya kuja kuolewa

Naanza kuunganisha dot sasa, kumbe ndy maana huyu wangu kila siku baby naomba unizingatie sana, najibu tu sawa baby me nitakuzingatia haina shida hiyo,

Asante kwa somo naingia mzigoni sasa hivi, ila mambo ya kumfuata fuata mtu me siwezi kabisa sijui umekula, sijui upo wapi na nani siwezi hata nikijilazimisha mweeeeeeeee, atabebwaaaa huyu jamani
 
Sema ukweli tatizo ni kutubania K wakati kuna wanasubiri kwa hamu kutupatia (mchepuko). Wanawake wanafikia wakati wa kumfinya mtoto alie ili akukwepe kuwa ngoja kwanza nimnyonyeshe mtoto au nimbembeleze alale ndipo niitoe K. Kabla hamjaoana anaitoa mpaka raha, akiishafunga ndoa K kwa manati
vipi yameshakukuta nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakwenda kuingojea ili uifaidi, mama ati yupo jikoni anaosha vyombo. Unaingia jikoni unampetipeti anakueleza nenda kitandani nakuja, haji wee mpaka asikie unakoroma anakuja anajiweka kitandani kisailensa, ngoma imelala. Ukiamka unakuwa CCM juu hadi mishipa ya dushe inauma. Wakati umeoa, nasubiri nini kwanini nisikimbilie mchepuko? Akinamama saa ingine ne majanga tupu hasa ambao huwa hawachezwi.
kumbe mambo ndo yalivyo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shida ni wewe mkuu. Wewe utakuwa ni mbinafsi, hata hiyo michepuko inakupa kwa sababu ya hela tu Ila ukikaa naye sana atakuchoka.
Wanawake tuna nyege pia, hata hiyo michepuko yako si ni wanawake?!?!
Mapenzi unayompa mkeo ni kama jogoo au ndo ndani nje ndani nje hata km ni saa nzima lkn hujamuandaa au upo kiubabeubabe mda wote. Ukirudi nyumbani utadhani brigedia kuingia kikosini.. Hamu kwa mkeo itatoka wapi? Sanasana na yeye ana mtu anayemkuna, hapo kwenu muishi km wapangaji tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hapana,huyo huyo mwanamke kabla hajaolewa alikuwa very active kumuhudumia mchumba wake ili tu apate ndoa,akiolewa tu,anaanza mauza uza,now mabaharia hawaoi wanazalisha single mothers tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi ndoa nilishazishtukia toka mapema, sidhani kama nitaoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo unafanya makosa. Kuna mjomba wangu sasa ni 90 years lakini tangu aoe 65 years ago hajawahi kuchepuka. Unajua mwanamke akiwa si mbinafsi na analugha ya kukutuliza you real enjoy marriage. Ni vyema kuoa maana ndoa zina raha yake ingawa na karaha zake. Pili huwezi kuendelea bila mwanamke ndani. Hata kama unahastle lazima uwe na mtu ukirudi anakupa faraja na kashikashi. Tatu ukiumwa na kuwa hoi kitandani hapo kuwa na mke anayekupenda ni muhimu. Ukitathimini kati ya faida na hasa RA za kuoa na kutooa faida za kuoa nyingi. Ila kuoa kuna wakati wake, wewe bado upo upo tu
 
Kama Mimi mke wangu ni mbinafsi hataki nishinde vijiweni na kujumuika na wanamichezo wenzangu. Ananivizia mda nao Rudi job. Eti nae ndo anaenda sokoni nia na madhumuni tuongozane kurudi home . Mpaka nahitaji apewe kitchen party

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi naona kama wewe ndo unahitaji mafunzo kabla yake

Yan umeoa na bado unataka kushinda vijiweni si shida hiyo
Hata na mimi nimekuona mbinafsi sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo unafanya makosa. Kuna mjomba wangu sasa ni 90 years lakini tangu aoe 65 years ago hajawahi kuchepuka. Unajua mwanamke akiwa si mbinafsi na analugha ya kukutuliza you real enjoy marriage. Ni vyema kuoa maana ndoa zina raha yake ingawa na karaha zake. Pili huwezi kuendelea bila mwanamke ndani. Hata kama unahastle lazima uwe na mtu ukirudi anakupa faraja na kashikashi. Tatu ukiumwa na kuwa hoi kitandani hapo kuwa na mke anayekupenda ni muhimu. Ukitathimini kati ya faida na hasa RA za kuoa na kutooa faida za kuoa nyingi. Ila kuoa kuna wakati wake, wewe bado upo upo tu
si kweli, unaweza kuendelea bila kuwa na mwanamke.mzee yaani unategemea mwanamke akufariji kweli??, unaweza ukaumwa na huyo huyo mkeo akakukimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna mahaba utanionyesha nikaacha kuchepuka

ukitaka nisichepuke,show me jinsi gani unaweza fight

hata kama nikifa leo mali /pesa zangu hazitopeperuka

fanya kazi kwa bidii ingiza pesa,asee nikichepuka ntakua nimelogwa.
Mimi sio mwanamke wa kisubiria niletewe na simtegemei mwanaume.loh namweshimu kama mume wangu ila hata asipokuwepo kwangu maisha yatakuwa poa tu.upendo tuh
 
Back
Top Bottom