Hongera zako uloumbwa hivyoBahat mbaya zaid wanaume hatuchepuki kwa sababu eti mwanamke kasababisha..... Mungu katuumba hvyo na matamanio...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi kwani kuwa na marafiki wa kiume nilazima udate nao ee.kwangu mm no tofautiKwanza ni kitu kisichowezekana kati 95% ya marafiki zake hao aliosema ni wanaume asiwepo mchokozi wa kutaka kudokoa mbunye yake. Atakuwa analiwa huyu ataki tu kuwa mkweli hilo kuliweka wazi!!
Na mme wa kuacha mke wake awe free kiasi hicho hadi 95% ya marafiki wote wawe wa kiume sijui labda kama siyo mtanzania nitaelewa!!
Madam embu rudia tena kuisoma hakuna sehemu nilosema nasubiri kuolewa...Hiyo heading imeniacha hoi. Utakuwaje kwenye ndoa halafu ungoje kuolewa?
Hebu tuanzie hapo hata kabla sijasoma habari kamili.
Ananiambia ila ndo marafiki zangu ila yeye ananafasi kubwa sana na namuheahimu Sana hata mbele za hao marafiki zangu
Ni mtanzania kabisaaaKwanza ni kitu kisichowezekana kati 95% ya marafiki zake hao aliosema ni wanaume asiwepo mchokozi wa kutaka kudokoa mbunye yake. Atakuwa analiwa huyu ataki tu kuwa mkweli hilo kuliweka wazi!!
Na mme wa kuacha mke wake awe free kiasi hicho hadi 95% ya marafiki wote wawe wa kiume sijui labda kama siyo mtanzania nitaelewa!!