Naomba kuongea na wanawake wenzangu ambao wapo kwenye ndoa na ambao mna matarajio ya kuja kuolewa

Naomba kuongea na wanawake wenzangu ambao wapo kwenye ndoa na ambao mna matarajio ya kuja kuolewa

Mpaka sasa nashindwa kuelewa kwa nin kuna wachangiaji wakiume wakati mtoa thread amesema kabisa anataka kuongea na She gender, wanaume tunakwama wapi [emoji16][emoji16][emoji16]?

Don't hunt what you can't kill.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Shida ni wewe mkuu. Wewe utakuwa ni mbinafsi, hata hiyo michepuko inakupa kwa sababu ya hela tu Ila ukikaa naye sana atakuchoka.
Wanawake tuna nyege pia, hata hiyo michepuko yako si ni wanawake?!?!
Mapenzi unayompa mkeo ni kama jogoo au ndo ndani nje ndani nje hata km ni saa nzima lkn hujamuandaa au upo kiubabeubabe mda wote. Ukirudi nyumbani utadhani brigedia kuingia kikosini.. Hamu kwa mkeo itatoka wapi? Sanasana na yeye ana mtu anayemkuna, hapo kwenu muishi km wapangaji tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hapa si tunapigastory ..tutakutana humuhumu jukwaani.jf
Aaah jamani urafiki wa hivyo siyo mtamu. Sawa hapa kama hivi tunapiga story lakini mimi kama marafiki twende nje jf, siku moja moja tukae meza moja tupige story physically face2face. Tukichoka hata tucheze draft au michezo mingine utayotaka pleaseee Melanny!
 
Aaah jamani urafiki wa hivyo siyo mtamu. Sawa hapa kama hivi tunapiga story lakini mimi kama marafiki twende nje jf, siku moja moja tukae meza moja tupige story physically face2face. Tukichoka hata tucheze draft au michezo mingine utayotaka pleaseee Melanny!
kea heri
💃💃💃💃💃💃💃
 
Mpaka sasa nashindwa kuelewa kwa nin kuna wachangiaji wakiume wakati mtoa thread amesema kabisa anataka kuongea na She gender, wanaume tunakwama wapi [emoji16][emoji16][emoji16]?

Don't hunt what you can't kill.
Wewe ni female au male? Kama ni male basi ni hata wewe ni wale wale and your post here is not relevant!
 
Angalia hata kuku kwa mfano, jogoo mmoja atosha kwa majike 10 na hali inakuwa shwari. Jaribu jike 1 jogoo 10 utapata jibu.. bas tu majogoo yako hivyo.btw utulivu muhim sababu hewa Haina afya
 
Dear Melanny.
Hivi avatar kama hizo mnakuwa mmekusudia nini, tunaoumia ni sisi ujue.
 
Amani iwe nanyi..

Nawaombeni radhi kama ntakuwa nimewakwazaa.

Wanawake wenzangu.mimi ni msichana na huwa nina marafiki wengi sana wakiume.

Marafiki wa kike sina mazoea nao saana.coz hawawezi kukisaidia plus wivu hata kitu kidogo tu.

Katika marafiki zangu wengi ambao ninao wakiume 95% huwa wanasema wake zao ndo chanzo cha kumfanya mwanaume awe na mchepuko ,mmoja au zaidi..

Sanasana mmoja,Mwanaume akiwa na wanawake wengi nae ni malaya tuhuuu[emoji85][emoji85]..

Wanawake wenzangu tulioolewa tunakwama wapi jomoni...
Embu tuache midomo isiyo na faida kwa wanaume zetu bana.
Mimi nimeacha baada ya kuchepukiwa[emoji21]

Nimejifunza ustaarabu mpaka anashangaa huyu mwanamke kulikoni...nilipogundua anamchepuko sijamuuliza ,sijagombana nae,japo alijua nimejua,,

Niliamua kumrudisha mume wangu kwa vitendo tu.mahaba kama yoteee..
Sasa mchepuko unalalamika baby hamjali...

Wanawake acheni midomo..tuwapeti waume zetu.
Wanaume ni kama watoto vile jitahidi kumjali na kumsuprise na mahaba motomoto kila siku...natamani niyaandike hata mahaba yenyewe hapa ya chumbani ninayompa, mpaka anatoa mimacho tuh[emoji849]. ..[emoji85][emoji85] jokes.

Pulus vimaneno hata kama humpendi ,jitahidi hivyohivyo ili asichepuke...
Baby,sweet,love,mahabuba nk..

Mwanaume unamwita nyongo mkalia ini inahusu....
Mimi baby wangu sasa kabadilika .akitoka kazini brek ya kwanza nyumbani.... Japo niliumia ila nilijua tatizo ni mimi.

Sasa wewe jifanye unamdomo ,
Na wanandoa wana kawaida ya kuchokana, wanaume wanakawaida ya kukomoa,

Kama hujaletewa mke wa.pili japo kanisa haliruhusu......... Kazi kwako[emoji1751]
Pia msijibweteke tafuteni kitu cha kufanya maana wanakawaida ya manyanyaso wanae
Mapovu ruhsa
Kama ni nanga ni nanga tuu na tabia ni kama ngozi, mke anaweza fanya yote lakini akacheat tu, sema nikumuomba MUNGU tu, kuna ndoa nyingine watu wanaishi mpaka unasema maisha si ndiyo haya, unakuja shituka kuna watoto 3 nje mama tofauti, sema tu kama anakuheshimu anachepuka kwa heshima ili usijue mambo mengine mmmm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema ukweli tatizo ni kutubania K wakati kuna wanasubiri kwa hamu kutupatia (mchepuko). Wanawake wanafikia wakati wa kumfinya mtoto alie ili akukwepe kuwa ngoja kwanza nimnyonyeshe mtoto au nimbembeleze alale ndipo niitoe K. Kabla hamjaoana anaitoa mpaka raha, akiishafunga ndoa K kwa manati
aisee...wa kwako ndo yupo hivyo

Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
Back
Top Bottom