Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,367
- 12,362
Kumbe hujui kuelewa eti. Ila kusoma unajua. Me Niko Mbeya , wewe upo Arusha.Kumbe hujui kusoma...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hujui kuelewa eti. Ila kusoma unajua. Me Niko Mbeya , wewe upo Arusha.Kumbe hujui kusoma...
Amani iwe nanyi..
Nawaombeni radhi kama ntakuwa nimewakwazaa.
Wanawake wenzangu.mimi ni msichana na huwa nina marafiki wengi sana wakiume.
Marafiki wa kike sina mazoea nao saana.coz hawawezi kukisaidia plus wivu hata kitu kidogo tu.
Katika marafiki zangu wengi ambao ninao wakiume 95% huwa wanasema wake zao ndo chanzo cha kumfanya mwanaume awe na mchepuko ,mmoja au zaidi..
Sanasana mmoja,Mwanaume akiwa na wanawake wengi nae ni malaya tuhuuu[emoji85][emoji85]..
Wanawake wenzangu tulioolewa tunakwama wapi jomoni...
Embu tuache midomo isiyo na faida kwa wanaume zetu bana.
Mimi nimeacha baada ya kuchepukiwa[emoji21]
Nimejifunza ustaarabu mpaka anashangaa huyu mwanamke kulikoni...nilipogundua anamchepuko sijamuuliza ,sijagombana nae,japo alijua nimejua,,
Niliamua kumrudisha mume wangu kwa vitendo tu.mahaba kama yoteee..
Sasa mchepuko unalalamika baby hamjali...
Wanawake acheni midomo..tuwapeti waume zetu.
Wanaume ni kama watoto vile jitahidi kumjali na kumsuprise na mahaba motomoto kila siku...natamani niyaandike hata mahaba yenyewe hapa ya chumbani ninayompa, mpaka anatoa mimacho tuh[emoji849]. ..[emoji85][emoji85] jokes.
Pulus vimaneno hata kama humpendi ,jitahidi hivyohivyo ili asichepuke...
Baby,sweet,love,mahabuba nk..
Mwanaume unamwita nyongo mkalia ini inahusu....
Mimi baby wangu sasa kabadilika .akitoka kazini brek ya kwanza nyumbani.... Japo niliumia ila nilijua tatizo ni mimi.
Sasa wewe jifanye unamdomo ,
Na wanandoa wana kawaida ya kuchokana, wanaume wanakawaida ya kukomoa,
Kama hujaletewa mke wa.pili japo kanisa haliruhusu......... Kazi kwako[emoji1751]
Pia msijibweteke tafuteni kitu cha kufanya maana wanakawaida ya manyanyaso wanae
Mapovu ruhsa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]alafu we yeyooo endelea tu
Kwa upande wa wanaume hiyo ya urafiki tu na mwanamke huwa ni ngumu labda kama marafiki zako wote ni ma-anisi. Wanaume wote 95% ya marafiki zako hakuna hata mmoja amejaribu kukuomba? Haiwezekani, au uliombwa ukakataa, ebu tujuze ukweli.Ivi kwani kuwa na marafiki wa kiume nilazima udate nao ee.kwangu mm no tofauti
Kutongozwa kupo ila ukijijua wewe unathamani kwa MUME wako huwezi kukitembeza na utamtunzia heshima MUME wakoKwa upande wa wanaume hiyo ya urafiki tu na mwanamke huwa ni ngumu labda kama marafiki zako wote ni ma-anisi. Wanaume wote 95% ya marafiki zako hakuna hata mmoja amejaribu kukuomba? Haiwezekani, au uliombwa ukakataa, ebu tujuze ukweli.
Okay hapo sasa umeanza kueleweka. Sasa inakuwaje kwa huyo rafiki yako wa kiume aliyekutongoza? Urafiki wenu unakufa au unaendelea maana kwake huyo shida ni mzingo pendwa nawe tuseme umeukatalia! Urafiki wenu huo vipi hatima yake. Mkiendelea nao hiyo ni green light kwake kwamba utampa baadae na usikatae haya mambo yanatokea, wewe ni mwanamke siyo malaika ukijiweka sana karibu na wanaume lazima baadhi wenye uhitaji watokee wa kukushinda nguvu na kukuvua hizo nguo za ndani!Kutongozwa kupo ila ukijijua wewe unathamani kwa MUME wako huwezi kukitembeza na utamtunzia heshima MUME wako
Umeolewa halafu 95% ya rafiki zako ni wanaume!!mume gani anaruhusu mke wake awe na company ya kiume tu?
Kuna mawili....hujaolewa ama ni kweli umeolewa lakini mumeo hakupendi
Hata hivyo ujumbe wako umefika
Hao marafiki zako ni waongo!
Hawawezi kukuambia ukweli kama wewe ambavyo hutaweza kuwaambia ukweli!
Namkataa na urafiki unaendeleaOkay hapo sasa umeanza kueleweka. Sasa inakuwaje kwa huyo rafiki yako wa kiume aliyekutongoza? Urafiki wenu unakufa au unaendelea maana kwake huyo shida ni mzingo pendwa nawe tuseme umeukatalia! Urafiki wenu huo vipi hatima yake. Mkiendelea nao hiyo ni green light kwake kwamba utampa baadae na usikatae haya mambo yanatokea, wewe ni mwanamke siyo malaika ukijiweka sana karibu na wanaume lazima baadhi wenye uhitaji watokee wa kukushinda nguvu na kukuvua hizo nguo za ndani!
Ukiwa mikononi mwa kidume jasiri hayo ya dhamani ya mumeo yanatoka wapi tena. Utayawazia baadae sana baada ya kuliwa. Kama kweli unamdhamini mumeo hata siku moja uwezi kudhubutu kuwa na 95% ya urafiki wako na wanaume wenzake lazima watakuonja na baadae watakukula mazima.
Ukiwa na urafiki na wanaume, ni rahisi wao kutumia huo urafiki kukufikisha sehemu ya faragha. Na ukishafika huko piga ua ukimshida huko ujue huyo sio jasiri wa kubembeleza au kushawishi papuchi ifunguliwe! Kwa wengi wenu mkishafikishwa kwenye hayo mazingira na ukizingatia ni marafiki lazima mpigwe pipe ya asili.
Hajazaliwa badoWanamtaka tu ndio maana wanapondea wake zao
Huyo mume anaeruhusu mke kuwa na marafiki wengi wa kiume sijawahi muona bado[emoji1436][emoji3601]
Kama ni hivyo basi hata mimi tuwe marafiki.Namkataa na urafiki unaendelea
Siyo wanamtaka tu hata yeye anawataka pia. Na ukisoma vizuri bandiko lake kuna kipindi walishamtia hata jeuri kiasi cha mambo yake na mme wake kutoenda vizuri. Sasa amejua kula na kipofu bila kumshika mkono kwa kumdanganya mme eti na mahaba ili apate kufaidi kote kote kwa mme na kwa hiyo midume 95% ya rafiki zake!Wanamtaka tu ndio maana wanapondea wake zao
Huyo mume anaeruhusu mke kuwa na marafiki wengi wa kiume sijawahi muona bado[emoji1436]♀
Thanks. Tukutane lini tupige story.U welcome