Naomba kuongea na wanawake wenzangu ambao wapo kwenye ndoa na ambao mna matarajio ya kuja kuolewa

Naomba kuongea na wanawake wenzangu ambao wapo kwenye ndoa na ambao mna matarajio ya kuja kuolewa

Hujaolewa, na nahisi bado ni mtoto kwa umri au kiakili.

Unaweza kuwa na marafiki wa kiume kwa kipindi fulani, lakini ukiingia ktk ndoa lazima utawaacha sio kwa vibaya bali ili kulinda ndoa yako.

Tulikuwa na marafiki wa kiume enzi hizo, walipo oa tu ukaribu unaupunguza. Kama ni lift hupandi kuketi sit ya mbele utakaa nyuma kwa heshima na sit ya mbele itabak wazi kama mke hayupo.

Na hivyo hivyo upande wa aliye olewa hakuna mwanaume anayesuport huo urafiki, kuwa nao lakin ukaribu lazima upungue.
Labda kama hujaolewa unaishi tu na mwanaume na huna uhakika kama ni sahihi au hapana.
 
Back
Top Bottom