Naomba kupata kampuni isiyo ya ubabaifu ya wauzaji wa Magari USED wanaoruhusu kulipia kidogo kidogo

Naomba kupata kampuni isiyo ya ubabaifu ya wauzaji wa Magari USED wanaoruhusu kulipia kidogo kidogo

Mh. Diwani mutarubukwa.....niliiwai ku mnukuu..
"USINUNUE GARI KAMA, HAUNA GARI LINGINE MFUKONI""

Ishi humo..
 
Ongea vizuri na watu,hapo Posta Dsm. Kampuni ipo na wanakupa mpaka Fuso la mchanga,na mfumo ni rafiki,lakini sababu unaishia kuongea na watu wa kushabikia mpira wa yanga na simba basi unakosa mengi,ongea na watu wa juu,hayo mambo ya simba na yanga ni magumashi,ongea na watu wa nyota tano ambao kahawa wanakunywa slipway pembeni kabisa ya bahari.Buda badirika.
Sasa huu ni ushauri/ Msaada au MASIMANGO??!
 
Habari wakuu, Habari za mwaka Mpya?

Nahitaji Kampuni isiyo babaifu ya uuzaji wa Magari Used wanaoruhusu kulipia kidogo kidogo. Ndoto zangu tangu mwaka Jana zilikuwa za kupata Usafiri baada ya kuuza Gari langu tangu mwaka Juzi kutokana na changamoto za kimaisha, ila mwaka mzima uliopita nilikuwa napambana kutunza akiba walau nipate Gari la kutembelea ila imekuwa ngumu sana kila nikifkia kiwango flani changamoto zinaibuka, Hakika nimepambana kurejesha usafiri hadi sasa mwaka mpya umeanza sijafanikisha, Naomba kwa anaefaham kampuni isiyobabaifu wanaoruhusu kulipia kidogo kidogo nianze huduma hiyo.

Walau ndani ya mwaka 1 au miez 6.

Au hata kama kuna mdau hapa anayo Gari isiyo na kipengere kama ataruhusu nimpe pesa kwa awamu nipo tayari tuandikishane, Mimi ni kijana nina makazi ya kudumu kumaanisha nimejenga ninaishi nyumban kwangu kama atapatikana mdau atakuja had home atapafahamu na tutaandikishana.

Kusema kwel hakuna fedheha na changamoto kama ninazopitia maana nilizoea kutumia Gari ila kwa sasa napata changamoto sana hasa linapokuja suala la kutoka na familia kwenda maeneo kama Hospital etc inalazimu nikodishe kibajaj.

Jipange ujaze hela Mara mbili, ya kuagiza then ya kutoa;

  • Ni either utalipa ghali sana!
  • Utapigwa
 
Mh. Diwani mutarubukwa.....niliiwai ku mnukuu..
"USINUNUE GARI KAMA, HAUNA GARI LINGINE MFUKONI""

Ishi humo..
Mkuu Gari nimemiliki tangu 2017. Ko kuhusu serveces etc ni kitu najua changamoto ni cash za kuinunua kwa sasa mambo yanakataa ndio maana nataka donation payment lakin pia sio kwamba siwez kutoa 15m au 10m nikanunua gari ila naangalia mzunguko wa biashara zangu. Nikitoa hiko kiasi kwa mkupuo biashara zangu zinabaki na uhai gani...! Kulipia kidogo kidogo ni ghali ila mda mwingine ni bora kwa afya ya Biashara
 
Habari wakuu, Habari za mwaka Mpya?

Nahitaji Kampuni isiyo babaifu ya uuzaji wa Magari Used wanaoruhusu kulipia kidogo kidogo. Ndoto zangu tangu mwaka Jana zilikuwa za kupata Usafiri baada ya kuuza Gari langu tangu mwaka Juzi kutokana na changamoto za kimaisha, ila mwaka mzima uliopita nilikuwa napambana kutunza akiba walau nipate Gari la kutembelea ila imekuwa ngumu sana kila nikifkia kiwango flani changamoto zinaibuka, Hakika nimepambana kurejesha usafiri hadi sasa mwaka mpya umeanza sijafanikisha, Naomba kwa anaefaham kampuni isiyobabaifu wanaoruhusu kulipia kidogo kidogo nianze huduma hiyo.

Walau ndani ya mwaka 1 au miez 6.

Au hata kama kuna mdau hapa anayo Gari isiyo na kipengere kama ataruhusu nimpe pesa kwa awamu nipo tayari tuandikishane, Mimi ni kijana nina makazi ya kudumu kumaanisha nimejenga ninaishi nyumban kwangu kama atapatikana mdau atakuja had home atapafahamu na tutaandikishana.

Kusema kwel hakuna fedheha na changamoto kama ninazopitia maana nilizoea kutumia Gari ila kwa sasa napata changamoto sana hasa linapokuja suala la kutoka na familia kwenda maeneo kama Hospital etc inalazimu nikodishe kibajaj.
Kuna jamaa anajiitaga BINGWA WA MAGARI USED, real name yake ni somebody Mbega. Akitangazaga bei anapenda kuweka laki 8 mwisho, hua kama anaimba.

Anazo huduma za kulipa kwa instalments, na gari zake ni nafuu. Mcheki huyo. Sema ye gari utachukua ukimaliza Instalments zote.
 
Njoo pm kaka nikuelekeze kitu, Kuna kampuni leasing company huwa nakopa kwao mashine mbalimbali, mitambo kama trekta na hata magari wanatoa kwa kianzio Cha 35% then unalipa kwa awamu utachagua kati ya mwaka mmoja Hadi miaka 3. Ndani ya siku 10 tu unapata gari yako.
 
Mimi nipo tyr Kaka, weka maelekezo na ni mtumishi wa umma
Kama unahitaji gari ya mkopo andaa 40% to 50% alafu inayobaki ndo utakopeshwa kwa mwaka 1 hadi 2.
👉FOMU YA MAOMBI YA MKOPO

👉BARUA YA UTAMBULISHO KUTOKA SERIKALI ZA MITAA

👉MKATABA WA AJIRA au(BARUA YA UTAMBULISHO KUTOKA KAZINI)

👉SALARY SLIP[MIEZI 3]

👉TAARIFA ZA KIFEDHA(BANK STATEMENTS/TAARIFA ZA MIAMALA)[MIEZI 6]

👉PASPORT SIZE 5

👉PROFOMA INVOICE YA GARI

👉COPY YA KITAMBULISHO CHAKE

👉COPY YA KITAMBULISHO CHA MDHAMINI

👉TIN NUMBER KWA AJILI YA USAJILI

Ukihitaji nitafute ☎+255626682228
 
Kuna jamaa anajiitaga BINGWA WA MAGARI USED, real name yake ni somebody Mbega. Akitangazaga bei anapenda kuweka laki 8 mwisho, hua kama anaimba.

Anazo huduma za kulipa kwa instalments, na gari zake ni nafuu. Mcheki huyo. Sema ye gari utachukua ukimaliza Instalments zote.
Huyo myeyushaji nishamchek tukawasliana changamoto yake huwa unamchek alafu hajibu sms
 
Back
Top Bottom