incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
- Thread starter
- #21
Unamaanisha bei ghali?Hao jamaa Wana Bei za HOVYO Sana, hasa kwa wanaonunua Kwa installments
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha bei ghali?Hao jamaa Wana Bei za HOVYO Sana, hasa kwa wanaonunua Kwa installments
Kwa gari anazotaka sidhani .Mtafute Dotto Magari
Dotto atamtoa nishaiKwa gari anazotaka sidhani .
Sasa huu ni ushauri/ Msaada au MASIMANGO??!Ongea vizuri na watu,hapo Posta Dsm. Kampuni ipo na wanakupa mpaka Fuso la mchanga,na mfumo ni rafiki,lakini sababu unaishia kuongea na watu wa kushabikia mpira wa yanga na simba basi unakosa mengi,ongea na watu wa juu,hayo mambo ya simba na yanga ni magumashi,ongea na watu wa nyota tano ambao kahawa wanakunywa slipway pembeni kabisa ya bahari.Buda badirika.
Mimi nipo tyr Kaka, weka maelekezo na ni mtumishi wa ummaUngekuwa mwajiriwa wa serikali ingekuwa rahisi hasa kwa mikoani.
Upo tayari kuacha kadi ya gari hadi umalize kulipia?
Habari wakuu, Habari za mwaka Mpya?
Nahitaji Kampuni isiyo babaifu ya uuzaji wa Magari Used wanaoruhusu kulipia kidogo kidogo. Ndoto zangu tangu mwaka Jana zilikuwa za kupata Usafiri baada ya kuuza Gari langu tangu mwaka Juzi kutokana na changamoto za kimaisha, ila mwaka mzima uliopita nilikuwa napambana kutunza akiba walau nipate Gari la kutembelea ila imekuwa ngumu sana kila nikifkia kiwango flani changamoto zinaibuka, Hakika nimepambana kurejesha usafiri hadi sasa mwaka mpya umeanza sijafanikisha, Naomba kwa anaefaham kampuni isiyobabaifu wanaoruhusu kulipia kidogo kidogo nianze huduma hiyo.
Walau ndani ya mwaka 1 au miez 6.
Au hata kama kuna mdau hapa anayo Gari isiyo na kipengere kama ataruhusu nimpe pesa kwa awamu nipo tayari tuandikishane, Mimi ni kijana nina makazi ya kudumu kumaanisha nimejenga ninaishi nyumban kwangu kama atapatikana mdau atakuja had home atapafahamu na tutaandikishana.
Kusema kwel hakuna fedheha na changamoto kama ninazopitia maana nilizoea kutumia Gari ila kwa sasa napata changamoto sana hasa linapokuja suala la kutoka na familia kwenda maeneo kama Hospital etc inalazimu nikodishe kibajaj.
Mkuu Gari nimemiliki tangu 2017. Ko kuhusu serveces etc ni kitu najua changamoto ni cash za kuinunua kwa sasa mambo yanakataa ndio maana nataka donation payment lakin pia sio kwamba siwez kutoa 15m au 10m nikanunua gari ila naangalia mzunguko wa biashara zangu. Nikitoa hiko kiasi kwa mkupuo biashara zangu zinabaki na uhai gani...! Kulipia kidogo kidogo ni ghali ila mda mwingine ni bora kwa afya ya BiasharaMh. Diwani mutarubukwa.....niliiwai ku mnukuu..
"USINUNUE GARI KAMA, HAUNA GARI LINGINE MFUKONI""
Ishi humo..
Kuna jamaa anajiitaga BINGWA WA MAGARI USED, real name yake ni somebody Mbega. Akitangazaga bei anapenda kuweka laki 8 mwisho, hua kama anaimba.Habari wakuu, Habari za mwaka Mpya?
Nahitaji Kampuni isiyo babaifu ya uuzaji wa Magari Used wanaoruhusu kulipia kidogo kidogo. Ndoto zangu tangu mwaka Jana zilikuwa za kupata Usafiri baada ya kuuza Gari langu tangu mwaka Juzi kutokana na changamoto za kimaisha, ila mwaka mzima uliopita nilikuwa napambana kutunza akiba walau nipate Gari la kutembelea ila imekuwa ngumu sana kila nikifkia kiwango flani changamoto zinaibuka, Hakika nimepambana kurejesha usafiri hadi sasa mwaka mpya umeanza sijafanikisha, Naomba kwa anaefaham kampuni isiyobabaifu wanaoruhusu kulipia kidogo kidogo nianze huduma hiyo.
Walau ndani ya mwaka 1 au miez 6.
Au hata kama kuna mdau hapa anayo Gari isiyo na kipengere kama ataruhusu nimpe pesa kwa awamu nipo tayari tuandikishane, Mimi ni kijana nina makazi ya kudumu kumaanisha nimejenga ninaishi nyumban kwangu kama atapatikana mdau atakuja had home atapafahamu na tutaandikishana.
Kusema kwel hakuna fedheha na changamoto kama ninazopitia maana nilizoea kutumia Gari ila kwa sasa napata changamoto sana hasa linapokuja suala la kutoka na familia kwenda maeneo kama Hospital etc inalazimu nikodishe kibajaj.
Halmashauri? Nyie ni kama hamjielewi vile. Sasa hela ya kula gari ishu unataka kukopa gari tena?Nipo dodoma
Kama unahitaji gari ya mkopo andaa 40% to 50% alafu inayobaki ndo utakopeshwa kwa mwaka 1 hadi 2.Mimi nipo tyr Kaka, weka maelekezo na ni mtumishi wa umma
Usijaribu kufanya hivyo. Wachache ni wafanyabiashara wa kweli. Lakini wengi wanaushirikina, gari unalipia zaidi ya nusu, then unaanza kupata shida ya kulipa, wanakupa miezi 3 ukishindwa unapokonywa gari.Ndio nipo tayari kuacha kwa maandishi kabisa
Huyo myeyushaji nishamchek tukawasliana changamoto yake huwa unamchek alafu hajibu smsKuna jamaa anajiitaga BINGWA WA MAGARI USED, real name yake ni somebody Mbega. Akitangazaga bei anapenda kuweka laki 8 mwisho, hua kama anaimba.
Anazo huduma za kulipa kwa instalments, na gari zake ni nafuu. Mcheki huyo. Sema ye gari utachukua ukimaliza Instalments zote.
MKuu kuwa na nidam kidogo bas kwann unichafulie uziHalmashauri? Nyie ni kama hamjielewi vile. Sasa hela ya kula gari ishu unataka kukopa gari tena?