Naomba kupata taarifa kuhusu kisiwa cha Mafia

Cathelin

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
2,071
Reaction score
3,995
Naomba kujua kiundani kisiwa Cha Mafia.

Kuna mdogo wangu amepata kazi uko, naomba kujua Hali ya hewa ya hicho kisiwa, huduma za kijamii Kama hospitali na Shule, na Upatikanaji wa Banks, etc.

Vipi gharama za maisha zikoje? Na je lazima mtu kupanda boti akiwa anaenda kazini?

Je mitandao ya simu inapatikana?
 
Naomba kujua kiundani kisiwa Cha mafia.

Kuna mdogo wangu amepata kazi uko, naomba kujua Hali ya hewa ya icho kisiwa, huduma za kijamii Kama hospitali na Shule, na Upatikanaji wa Banks, etc.

Vipi garama za maisha zikoje? na je lazima mtu kupanda boti akiwa anaenda kazini?, Je mitandao ya simu inapatikana?
Boti kama atakuwa anaenda visiwa vya jirani na Kilindoni lazima apande
Kama ataenda Chole, Juani, Jibondo etc Boti must

Ova
 
Naomba kujua kiundani kisiwa Cha mafia.

Kuna mdogo wangu amepata kazi uko, naomba kujua Hali ya hewa ya icho kisiwa, huduma za kijamii Kama hospitali na Shule, na Upatikanaji wa Banks, etc.

Vipi garama za maisha zikoje? na je lazima mtu kupanda boti akiwa anaenda kazini?, Je mitandao ya simu inapatikana?
Kuko vizuri kwa mambo karibia yote ila mzunguko wa pesa bado sio mkubwa na zile tabia za Pwani bado ni kikwazo
 
Hali ya hewa Tena?
 
Kuko vizuri kwa mambo karibia yote ila mzunguko wa pesa bado sio mkubwa na zile tabia za Pwani bado ni kikwazo
Kama zipi?,

Uko ndani ndani Jibondo huduma Kama shule, hospital,Bank ,masoko zipo?
 
Kumenyata sana..watumishi wengi ambao sio wazawa wanapakimbia sana huko.

Uswahili mwingi sana.

#MaendeleoHayanaChama
Hii Ni Kweli Zamani Watumishi Walikuwa Wanakwenda Kwa Ndege
Ila Wengi Wanakimbia Sana
 
Back
Top Bottom