Naomba kupata taarifa kuhusu kisiwa cha Mafia

Naomba kupata taarifa kuhusu kisiwa cha Mafia

Ukiwa na mawazo hayo hutatusua
Utabakia kuwa muoga na kubakia mjini na wavaa tai wanangojea mshahara mwisho wa Mwezi, mipango wanapanga mingi utekelezaji zeroooo
Nenda huko ukajifunze fursa ya biashara ya samaki, mwani, nazi etc
Achana na watoto wa kutoka vyuoni watakuchelesha
Kuna wabongo wanaenda Somalia kuhangaika sembuse Mafia

Ova
Nikitoka mbeya
Uelekeo ni upi mpaka nifike Mafia ?
Je fursa gani kwa mzee anayehitaji kwenda kuweka makazi baada ya kustaafu?

Nisaidie mrangi mimi mtoto wa mjini mwenzio
 
Naomba kujua kiundani kisiwa Cha Mafia.

Kuna mdogo wangu amepata kazi uko, naomba kujua Hali ya hewa ya hicho kisiwa, huduma za kijamii Kama hospitali na Shule, na Upatikanaji wa Banks, etc.

Vipi gharama za maisha zikoje? Na je lazima mtu kupanda boti akiwa anaenda kazini?

Je mitandao ya simu inapatikana?
Hakuna vyote hivyo na gharama za maisha sawa na za Tokyo.
 
Dada una maswali ya kitoto sana.

Yaani unajua kuna JF lakini hujui kuhusu google map wala google as a search engine.

Eti unauliza kama mtu anaenda kazini anapanda boti?

Hivi walio Unguja wakiwa wanaenda kazini wanapanda boti?

Eti kuna mitandao ya simu? Hivi Mafia unavyodhani ni kisiwa kama kijiji? Ni Wilaya nzima ile ujue.

Sijui elimu uliyosoma miaka mingi imekusaidia nini? Ufanye mambo 2:

1. Ukadai ada zako shuleni kwa sababu hujaelimika.

2. Umuombe radhi baba/mama yako kwa kupoteza pesa zao kwa sababu shule wamekufunza vitu vizuri na uligoma kabisa kuelemika
Pathetic.
NAKAZIA.
 
Sehemu zote zilizokaliwa na waarabu na wenyeji kuachiwa dini ya mnyaazimungu.

Jamii hizo nyingi ni duni sana..hazijaelimika..zinaamini ushirikina na majini.
Umasikini wa kipato na kiakili umetamalaki sana.

#MaendeleoHayanaChama
[emoji419]
 
website ya serikali nimekuwekea, majibu yote yapo hapo... ukiona hapakufai una acha kazi bosi, waacheni watu na maadili yao na ustaarab wao... endeleeni kukaa na wamasai walio starabika na kuelimika huko mapolini
Wewe pia ni mkabila na mdini mkubwa.
Shubamiti mfuga majini wewe.
Siku moja yatakugeuza na wewe yakukule jicho.
 
Kero kubwa ya Mafia ni Usafiri... Unaweza ufiwe na usizike.. Nashauri wenye uwezo wapande Ndege tuu.

Barabara ya Nyamisati Bungu haina Lami km km 50 hv.

Ratiba za Meli sio rasmi maana safari za huko Zinaathiriwa na Mazingira Bahari zonategemea kupwa na kujaa kwa maji.
 
Back
Top Bottom