Naomba kupata taarifa kuhusu kisiwa cha Mafia

Naomba kupata taarifa kuhusu kisiwa cha Mafia

Ngombe kabisa Sasa Google map ingenipa details nilizopata hapa
Ng'ombe wewe na ujuha wako mbovu wa kushindwa kuwasilisha kile unachokihitaji katika maelezo yaliyonyooka.

Kwa unavyodhani google map huwa inasaidia nini?
 
K

Mafia kuzuri sana dada yangu,
  1. Watu wa Mafia nzima wanafahamiana
  2. Dhuruma hakuna
  3. Dereva wa gari la serikali asipokupa lift, kamsemee kwa diwani, kesi itafika baraza la madiwani hatua zitachukuliwa dhidi yake
  4. Watu wa Mafia hawana makuu, ukikosea omba msamaha yanakwisha hawana malipizi
  5. Mambo ya kupigana fimbo ati umekula mchana hayapo
  6. Watu wa mafia wanaishi kwa uaminifu sana, ukiwa huna pesa watakukopesha tu ila uwe mwaminifu kurudisha kwa wakati
  7. Ukiishiwa ukaenda kwa jirani atakusaidia na hakuna masimango siyo kama Kwamtogole Dar
  8. Hakuna polution, hewa ni clean
  9. Ukitaka kwenda airport huna haja ya taxi, ni bajaj tu au miguu yako maana haiko mbali
  10. Kwa ndege Mafia to Dar ni 30 minutes umefika
  11. Upana wa kisiwa ni takribani Km 19 na urefu Km 70
  12. Kiukweli kile ni kisiwa cha amani
Sawasawa
 
Ng'ombe wewe na ujuha wako mbovu wa kushindwa kuwasilisha kile unachokihitaji katika maelezo yaliyonyooka.

Kwa unavyodhani google map huwa inasaidia nini?
Tikiti maji wewe
 
Ngombe kabisa Sasa Google map ingenipa details nilizopata hapa
Wewe huna akili tu. Hilo halina ubishi. Wilaya zote kwenye website ya serikali zipo na maelezo. Huku ungekuja kutafuta maelezo ya ziada tu.....tunarudi pale pale, unajua kuna JF lakini hujui google as a search engine pendwa sana.
 
Asilimia kubwa hawajasoma ni asilimia ngapi?

Utafiti wako uliufanya ukiwa kwenye mdomo wa mto gani?

Ulichukua sample ya watu wangapi?

Acheni mambo ya kihuni
Uhuni kusema ukweli, ulikuwa hujuwi kuwa Mafia wakazi wake hawajasoma? Nimeishi kule miaka 4 nikifanya kazi almashauri, nenda kajionee mwenyewe usibishe tu kutafuta audience.
 
"Minding his/her Own Business" ndio code Muhimu sana itamsaidia kuishi huko
 
Back
Top Bottom