Naomba kupata taarifa kuhusu kisiwa cha Mafia

Naomba kupata taarifa kuhusu kisiwa cha Mafia

Naomba kujua kiundani kisiwa Cha mafia.

Kuna mdogo wangu amepata kazi uko, naomba kujua Hali ya hewa ya icho kisiwa, huduma za kijamii Kama hospitali na Shule, na Upatikanaji wa Banks, etc.

Vipi garama za maisha zikoje? na je lazima mtu kupanda boti akiwa anaenda kazini?,

Je mitandao ya simu inapatikana?
Nenda peke yako huko....kule ni unafiki mtupu tu na wakazi wa kule zaidi ya kuvua samaki wanaridhika na kukaa tu na kunywa kahawa na kashata kujifanya mamwinyi.
 
Yaani unajua kuna JF lakini hujui kuhusu google map wala google as a search engine.
Mkuu google inatoa High level sana, mambo ya ndani kabisa google hainaga majibu mkuu; Humu kuna watu wanaishi huko au wameshawahi kuishi au wana ndugu zao, hivyo wana real experiences.
 
ameajiliwa kama afisa mashamba? maana kama angekuwa mwalimu au mtumishi wa afya usingeuliza hayo maswali? kisiwa cha mafia ni kidogo kina fikika kila konaa... ndege zipo... watalii wa kumwaga... kisiwa kizuri sanaaaaaaa...

www.mafiadc.go.tz
Why wasema hivyo
 
kumbe ndgu bado hauja elimika? karne hii na udini na ukabila?
Hujaona comments za hapo juu watu wameogopesha eti kwenye Ramadhani Kama we sio muislamu utajuta
 
Asilimia kubwa ya wakazi wa kule hawajasoma zaidi ya kwenda madrasat tu, hivyo kama una watoto ama huyo mdogo wako ana Watoto na anataka wasome basi awaache huko huko anakosihi aende Mafia yeye tu peke yake.
Asilimia kubwa hawajasoma ni asilimia ngapi?

Utafiti wako uliufanya ukiwa kwenye mdomo wa mto gani?

Ulichukua sample ya watu wangapi?

Acheni mambo ya kihuni
 
Uko sawa kabisa..bora familia aiache hata kibiti...aende huko akapige kazi yeye..sio sehemu salama kwa makuzi ya watoto..uswahili mwingi wengi hawana elimu wanaamini ushirikina.

#MaendeleoHayanaChama
 
Asilimia kubwa hawajasoma ni asilimia ngapi?

Utafiti wako uliufanya ukiwa kwenye mdomo wa mto gani?

Ulichukua sample ya watu wangapi?

Acheni mambo ya kihuni
Sehemu zote zilizokaliwa na waarabu na wenyeji kuachiwa dini ya mnyaazimungu.

Jamii hizo nyingi ni duni sana..hazijaelimika..zinaamini ushirikina na majini.
Umasikini wa kipato na kiakili umetamalaki sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
hachana na mambo ya watu... una enda ktk jamii yenye taratibu zake nawe una zako... muhimu kuheshimiana, fanya au tekeleza wajibu wako kama mtumishi na ishi maisha yako...
Wengi huwaonea wivu na kuwanyanyasa watumishi ambao sio wenyeji..na kunza kulialia kuwa wamekuja kuwatawala na kuchukua kazi zao..wakati jamii nzima wasomi hawafiki hata 10.

Akili finyu sana..wanajua kuozesha na kucheza watoto nothing more.

#MaendeleoHayanaChama
 
msweeden katoka kwao kuja Mafia kufanya hii biashara, wewe kalia udini wa kuambiwa uendelee kukuvuruga huko machame, ngorongoro etc...

hiyo pesa yake umeiona ni mamilioni kwenda kuishi huko kwa siku kadhaa...

nenda kafate yanayo kuhusu, yawengine waachie wenyewe
 
Wengi huwaonea wivu na kuwanyanyasa watumishi ambao sio wenyeji..na kunza kulialia kuwa wamekuja kuwatawala na kuchukua kazi zao..wakati jamii nzima wasomi hawafiki hata 10.

Akili finyu sana..wanajua kuozesha na kucheza watoto nothing more.

#MaendeleoHayanaChama
jamii nzima wasomi hawafiki kumi... maajabu haya...! mkuu historia ya mafia waielewa kweli mkuu? wapo wengi sana serikalini na katika mashirika kwa mfano WFP, FAO... tuache hawa wanao fahamika na wengi kama Balozi Dr. Ramadhani Kitwana...
 
Back
Top Bottom