Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,015
Kasome tena maswali ya mleta mada.hata mambo ya ushirikina gogle itasoma et
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasome tena maswali ya mleta mada.hata mambo ya ushirikina gogle itasoma et
Hiyo ni tafsiri yako.Daah hii dunia ngumu Sana kweli ajikwezaye hushushwa yaani ulichoandika kinakutafsiri Kama mshamba
Hivi hakuna watu wanaokaa utende halaf ofisi zao za kazi zipo chole juani au jibondo?? Je wanatumia usafiri gani kwenda makazini kwaoHiyo ni tafsiri yako. Mimi sikubaliani na maoni yako na nayaacha kama alivyo. Maswali ya kitoto kauliza, na huo ndio utakuwa msimamo wangu.
Swali la msingi ni 1 tu hapo, upatikanaji wa huduma za kijamii. Mengine yote ni rubbish.
Asilimia kubwa ya wakazi wa kule hawajasoma zaidi ya kwenda madrasat tu, hivyo kama una watoto ama huyo mdogo wako ana Watoto na anataka wasome basi awaache huko huko anakosihi aende Mafia yeye tu peke yake.Naomba kujua kiundani kisiwa Cha mafia.
Kuna mdogo wangu amepata kazi uko, naomba kujua Hali ya hewa ya icho kisiwa, huduma za kijamii Kama hospitali na Shule, na Upatikanaji wa Banks, etc.
Vipi garama za maisha zikoje? na je lazima mtu kupanda boti akiwa anaenda kazini?, Je mitandao ya simu inapatikana?
Hatishi watu huo ndoukweli.Acha kutisha watu wewe..
#MaendeleoHayanaChama
Okay, tunaizungumzia mafia as kisiwa per se au Mafia as wilaya?Hivi hakuna watu wanaokaa utende halaf ofisi zao za kazi zipo chole juani au jibondo?? Je wanatumia usafiri gani kwenda makazini kwao
Shule ipo ya msingi, mawasiliano yapoUko jibondo huduma zipo Kama shuel, hospital, Banks, masoko
Mafia ni kisiwa pia ni wilaya haya tuendeleeOkay, tunaizungumzia mafia as kisiwa per se au Mafia as wilaya?
Twende pole pole. Ntakujibu swali lako ukinijibu hilo hapo.
Mafia kuzuri sana dada yangu,Naomba kujua kiundani kisiwa Cha mafia.
Kuna mdogo wangu amepata kazi uko, naomba kujua Hali ya hewa ya icho kisiwa, huduma za kijamii Kama hospitali na Shule, na Upatikanaji wa Banks, etc.
Vipi garama za maisha zikoje? na je lazima mtu kupanda boti akiwa anaenda kazini?, Je mitandao ya simu inapatikana?
Mwambie usafiri siku hzi kutoka nyamisati hadi mafia wanatoaka alasiri huko mafia watafika saa 12 au saa moja asisahau kitambulisho kitakachomtambulisha yeye ni mtanzania
K
Mafia kuzuri sana dada yangu,
- Watu wa Mafia nzima wanafahamiana
- Dhuruma hakuna
- Dereva wa gari la serikali asipokupa lift, kamsemee kwa diwani, kesi itafika baraza la madiwani hatua zitachukuliwa dhidi yake
- Watu wa Mafia hawana makuu, ukikosea omba msamaha yanakwisha hawana malipizi
- Mambo ya kupigana fimbo ati umekula mchana hayapo
- Watu wa mafia wanaishi kwa uaminifu sana, ukiwa huna pesa watakukopesha tu ila uwe mwaminifu kurudisha kwa wakati
- Ukiishiwa ukaenda kwa jirani atakusaidia na hakuna masimango siyo kama Kwamtogole Dar
- Hakuna polution, hewa ni clean
- Ukitaka kwenda airport huna haja ya taxi, ni bajaj tu au miguu yako maana haiko mbali
- Kwa ndege Mafia to Dar ni 30 minutes umefika
- Upana wa kisiwa ni takribani Km 19 na urefu Km 70
- Kiukweli kile ni kisiwa cha amani
Hapana ni saa moja uskuIna maana unaenda jioni mpaka asubuhi ndo mnafika?
Yap!Kumbe ni kisiwa kikubwa tu.
Km 70 ni Sawa na kutoka mwenge Hadi bagamoyo
Ngombe kabisa Sasa Google map ingenipa details nilizopata hapaDada una maswali ya kitoto sana. Yaani unajua kuna JF lakini hujui kuhusu google map wala google as a search engine.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Eti unauliza kama mtu anaenda kazini anapanda boti? Hivi walio Unguja wakiwa wanaenda kazini wanapanda boti?
Eti kuna mitandao ya simu? Hivi Mafia unavyodhani ni kisiwa kama kijiji? Ni Wilaya nzima ile ujue.
Sijui elimu uliyosoma miaka mingi imekusaidia nini? Ufanye mambo 2:
1. Ukadai ada zako shuleni kwa sababu hujaelimika.
2. Umuombe radhi baba/mama yako kwa kupoteza pesa zao kwa sababu shule wamekufunza vitu vizuri na uligoma kabisa kuelemika
Pathetic.
Kula jicho ndo kitu gani mkuu?Kule kuna michezo ya kula jicho[emoji37]