Dada una maswali ya kitoto sana.
Yaani unajua kuna JF lakini hujui kuhusu google map wala google as a search engine.
Eti unauliza kama mtu anaenda kazini anapanda boti?
Hivi walio Unguja wakiwa wanaenda kazini wanapanda boti?
Eti kuna mitandao ya simu? Hivi Mafia unavyodhani ni kisiwa kama kijiji? Ni Wilaya nzima ile ujue.
Sijui elimu uliyosoma miaka mingi imekusaidia nini? Ufanye mambo 2:
1. Ukadai ada zako shuleni kwa sababu hujaelimika.
2. Umuombe radhi baba/mama yako kwa kupoteza pesa zao kwa sababu shule wamekufunza vitu vizuri na uligoma kabisa kuelemika
Pathetic.