Boti kama atakuwa anaenda visiwa vya jirani na Kilindoni lazima apandeNaomba kujua kiundani kisiwa Cha mafia.
Kuna mdogo wangu amepata kazi uko, naomba kujua Hali ya hewa ya icho kisiwa, huduma za kijamii Kama hospitali na Shule, na Upatikanaji wa Banks, etc.
Vipi garama za maisha zikoje? na je lazima mtu kupanda boti akiwa anaenda kazini?, Je mitandao ya simu inapatikana?
Kuko vizuri kwa mambo karibia yote ila mzunguko wa pesa bado sio mkubwa na zile tabia za Pwani bado ni kikwazoNaomba kujua kiundani kisiwa Cha mafia.
Kuna mdogo wangu amepata kazi uko, naomba kujua Hali ya hewa ya icho kisiwa, huduma za kijamii Kama hospitali na Shule, na Upatikanaji wa Banks, etc.
Vipi garama za maisha zikoje? na je lazima mtu kupanda boti akiwa anaenda kazini?, Je mitandao ya simu inapatikana?
Hali ya hewa Tena?Naomba kujua kiundani kisiwa Cha mafia.
Kuna mdogo wangu amepata kazi uko, naomba kujua Hali ya hewa ya icho kisiwa, huduma za kijamii Kama hospitali na Shule, na Upatikanaji wa Banks, etc.
Vipi garama za maisha zikoje? na je lazima mtu kupanda boti akiwa anaenda kazini?, Je mitandao ya simu inapatikana?
Toba Maulana!!Kama wa kiume mwambie kichupa kitampuliza unless akubali kupita njia ya mlango wa uwani
Hivyo vipo bali udini uswahili na majungu pia vipo sanaKama zipi?, Uko ndani ndani Jibondo huduma Kama shule, hospital,Bank ,masoko zipo?
Hii Ni Kweli Zamani Watumishi Walikuwa Wanakwenda Kwa NdegeKumenyata sana..watumishi wengi ambao sio wazawa wanapakimbia sana huko.
Uswahili mwingi sana.
#MaendeleoHayanaChama