Naomba kupata taarifa kuhusu kisiwa cha Mafia

Nikitoka mbeya
Uelekeo ni upi mpaka nifike Mafia ?
Je fursa gani kwa mzee anayehitaji kwenda kuweka makazi baada ya kustaafu?

Nisaidie mrangi mimi mtoto wa mjini mwenzio
 
Hakuna vyote hivyo na gharama za maisha sawa na za Tokyo.
 
NAKAZIA.
 
Sehemu zote zilizokaliwa na waarabu na wenyeji kuachiwa dini ya mnyaazimungu.

Jamii hizo nyingi ni duni sana..hazijaelimika..zinaamini ushirikina na majini.
Umasikini wa kipato na kiakili umetamalaki sana.

#MaendeleoHayanaChama
[emoji419]
 
website ya serikali nimekuwekea, majibu yote yapo hapo... ukiona hapakufai una acha kazi bosi, waacheni watu na maadili yao na ustaarab wao... endeleeni kukaa na wamasai walio starabika na kuelimika huko mapolini
Wewe pia ni mkabila na mdini mkubwa.
Shubamiti mfuga majini wewe.
Siku moja yatakugeuza na wewe yakukule jicho.
 
Kero kubwa ya Mafia ni Usafiri... Unaweza ufiwe na usizike.. Nashauri wenye uwezo wapande Ndege tuu.

Barabara ya Nyamisati Bungu haina Lami km km 50 hv.

Ratiba za Meli sio rasmi maana safari za huko Zinaathiriwa na Mazingira Bahari zonategemea kupwa na kujaa kwa maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…