Habari ndugu zanguni, naomba kwa wenye experience juu ya biashara ya vifaa vya kielektronikI nisaidieni kujua kuhusu management yake na hata changamoto zake pia .
Sina uzoefu sana na hii biashara ila kwa njia moja ama nyingine naona changamoto ambayo watu wengi huwa hawaifikirii
Moja ya changamoto kubwa ya tasnia ya kielektroniki ni kasi ya mabadiliko. Teknolojia inakua kwa kasi inaongezeka kila wakati. Ni lazima kampuni au maduka makubwa yaendelee kusasisha bidhaa zao ili kukaa mbele ya shindano na kuzuia bidhaa nyingi kuwa hazina soko. Hii inaweza kuwa mchakato wa gharama kubwa na wa muda. Mrefu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.