tEcHiE
Member
- Jan 25, 2021
- 55
- 92
Nimekutana na huyu bibie mwez wa 2 mwanzoni kufika mwez wa 3 kaniambia kuwa ana ujauzito wangu tar 17 mwez wa 10 ndiyo siku aliyojifungua
Sasa wakuu m nataka tu kujua kwa huo kwel miez 9 ya mimba imekamilika au alishakuwa na ujauzito tangu mwez wa 1 mim nimebebeshwa tu aliponiona nina potential ya kuwa baba, maana nikipiga hesab naona zinagoma
Hebu wakuu nitoen tongotongo hapa.