Naomba kutolewa jongotongo juu ya huu ujauzito

Naomba kutolewa jongotongo juu ya huu ujauzito

kudadeki mtapigwa sana na huna pa kuchomokea zaidi ya DNA kwa sababu mahesabu ya mimba yatakukataa maana mimba kuanzia wiki ya 37 inaweza kuzaliwa sasa kwa maelezo yako hiyo tarehe kumi na saba mimba ilikuwa na wiki 37.kwa hiyo mahesabu yatarudi huko kwako.
 
Nimekutana na huyu bibie mwez wa 2 mwanzoni kufika mwez wa 3 kaniambia kuwa ana ujauzito wangu tar 17 mwez wa 10 ndiyo siku aliyojifungua

Sasa wakuu m nataka tu kujua kwa huo kwel miez 9 ya mimba imekamilika au alishakuwa na ujauzito tangu mwez wa 1 mim nimebebeshwa tu aliponiona nina potential ya kuwa baba, maana nikipiga hesab naona zinagoma

Hebu wakuu nitoen tongotongo hapa.
Tuseme Mara ya Mwisho kuona period yake ni 1/2/2024 hata kama ulimbandua siku chache baada ya period. Then
Tare ya matarajio ya kujifungua kama atapata mimba ni

8/11/2024.

Muhimu: Lazima uwe unajua siku halisi aliyopata Period kwa mara ya mwisho ktk uja uzito huu.

Usije ukamkataa Mwanao
 
kweli wa ni bush dokta,
 
Back
Top Bottom