Naomba kutolewa jongotongo juu ya huu ujauzito

Naomba kutolewa jongotongo juu ya huu ujauzito

Basi angejifungua mtoto kati ya tarehe 20 November 2024 .. Ikiwa ulikutana nae mwezi 2 tarehe 14 ikiwa ulikutana nae mwezi wa 3 angejifungua disemba .. Na kama kulikua hakuna sababu ya msingi ya kuhatarisha mimba na uhai wa mbeba mimba.. Basi kulikua hakuna sababu ya yeye kujifungua mimba hiyo ikiwa na miezi 7.. Au 8 Kama inavyojionesha sasa. MIMBA SIO YAKO UKILETA HURUMA NA USHAURI WA KIBINADAMU SIJUI MTOTO NI BARAKA USIJE UKATULAUMU BAADAE.. pale mwenye mtoto atakapoijia mtoto wake. Either kaona wewe unaweza muhudumia kaamua akubambikizie na ukute Hata jina hujampa wewe
 
Japo hujatoa taarifa kama kulikuwa na complications zozote zilizopelekea ajifungue, hujaeleza pia mlikutana February ngapi

Kama mwenza wako alijifungua mwezi Oktoba 17, maana yake mimba alishika katikati ya mwezi wa kwanza.

Kama ninyi mlikutana February basi alipaswa kujifungua tarehe za mwanzoni za mwezi Novemba.
 
Hivyo kwa tarehe hizo ina maana kajifungua wiki ya 35, ingawa inawezekana mwanamke kujifungua muda huu kama kuna matatizo ya kiafya hata hivyo mtoto hutajwa kama njiti bado na huwa chini ya uangalizi kwa muda...

Kawaida gestation period huwa angalau wiki ya 39 hadi 40...
 
Japo hujatoa taarifa kama kulikuwa na complications zozote zilizopelekea ajifungue, hujaeleza pia mlikutana February ngapi

Kama mwenza wako alijifungua mwezi Oktoba 17, maana yake mimba alishika katikati ya mwezi wa kwanza.

Kama ninyi mlikutana February basi alipaswa kujifungua tarehe za mwanzoni za mwezi Novemba.
Ahsante kaka mtoto karud nae yupo kwao

Feb 14 ndo tulikutana
 
Umri wa mimba unapimwa kuanzia ile siku ya period ya mwisho ya mwanamke. Mfano ulilala nae mwezi wa 2, period yake ya mwisho possibly aliiona Januar, so January ndo inakuwa mwezi wa kwanza wa mimba, count hiyo January mpaka miezi 9 ifike.
Kutoka inaanza period mpaka inafika siku ya kupevuka kwa mtu normal Kuna siku kumi na nne. Period ikiisha siku ya tano au ya Dsita maana yake Kuna siku at least siku nane mpaka kumi. Maana yake kama ni mwanzoni possibility ya mimba kutokua yake ni kubwa pia. Kikubwa atafute kadi ya kliniki bila kuuliza. Ushahidi ataupata wote huko. Angetoa hizo siku za hatari, siku ya kukutana inawezekana kupredict vizuri.
 
KAMA HUJA OA HUNA MTOTO HAPO LABDA KWA MAPENZI TU USAIDIE KULEA LAKIN IPO SIKU UTAAMBIWA ALIEWEKA MIMBA NI MWINGINE

VIJANA ACHENI UZINIFU
 
Nimekutana na huyu bibie mwez wa 2 mwanzoni kufika mwez wa 3 kaniambia kuwa ana ujauzito wangu tar 17 mwez wa 10 ndiyo siku aliyojifungua

Sasa wakuu m nataka tu kujua kwa huo kwel miez 9 ya mimba imekamilika au alishakuwa na ujauzito tangu mwez wa 1 mim nimebebeshwa tu aliponiona nina potential ya kuwa baba, maana nikipiga hesab naona zinagoma

Hebu wakuu nitoen tongotongo hapa.
Ikiwa mimba imetunga huo mwezi wa pili na mwezi wa kumi amejifungua, kama ni yako labda amezaa kabla ya wakati yaaani premature
 
Mkiwa bungeni mnajiita Ma Profesa,Ma Doctor...
Mkuu hiyo Ndio faida ya kupeleka Moto kwenye Moto..We lea tuu.Ukipekenyua Sana hata wewe si Mtoto halal WA unae muita Baba....
 
Naungana na wadau kadhaa hapo juu kuwa kuna uwezekano wa zaidi ya 70% mtoto sio wako... Kama amejifungua mwezi wa 10, means mimba ilitunga January. Kama mimba ilingia mwezi huo wa pili mlipokutana means mtoto amezaliwa pre mature... Je, mwenzi wako alikuwa na tatizo au changamoto yoyote ya kiafya kipindi cha ujauzito wake? Je, alianza kwenda kliniki baada ya miezi mingapi, ripoti za kliniki zinasemaje? Maana kwa hesabu mtoto amezaliwa kabla ya muda...
 
Nimekutana na huyu bibie mwez wa 2 mwanzoni kufika mwez wa 3 kaniambia kuwa ana ujauzito wangu tar 17 mwez wa 10 ndiyo siku aliyojifungua

Sasa wakuu m nataka tu kujua kwa huo kwel miez 9 ya mimba imekamilika au alishakuwa na ujauzito tangu mwez wa 1 mim nimebebeshwa tu aliponiona nina potential ya kuwa baba, maana nikipiga hesab naona zinagoma

Hebu wakuu nitoen tongotongo hapa.
unapaswa kutambua kwamba hapo every date counts, huwezi ukaongea just that general.
Specify unaposema Mwanzoni ilikuwa ni wiki ya ngapi ya huo mwezi, pia alipikupatia taarifa ilikuwa ni wiki ya ngapi ya mwezi wa tatu.

Ukishakuwa that specific ndiyo tutajua kama hiyo mimba ni ya kwako au tutembee na kuishi kwenye misemo wa kitanda hakizai haramu, watoto ni zawadi, wengine wanatafuta watoto, huyo mtoto hana kosa n.k
 
Paragraph ya mwisho hiyo hahahaa
 
Back
Top Bottom