Naomba kutolewa jongotongo juu ya huu ujauzito

tEcHiE

Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
55
Reaction score
92
Nimekutana na huyu bibie mwez wa 2 mwanzoni kufika mwez wa 3 kaniambia kuwa ana ujauzito wangu tar 17 mwez wa 10 ndiyo siku aliyojifungua

Sasa wakuu m nataka tu kujua kwa huo kwel miez 9 ya mimba imekamilika au alishakuwa na ujauzito tangu mwez wa 1 mim nimebebeshwa tu aliponiona nina potential ya kuwa baba, maana nikipiga hesab naona zinagoma

Hebu wakuu nitoen tongotongo hapa.
 
Hesabu kwa wiki, usihesabu kwa miezi ya kalenda...

Umekutana naye mwezi wa 2 tarehe ngapi?

Note:
Kama huna mpango wa mimba zisizo na address au STD, tumia condom...
 
Wasi wasi ndo AKILI, usishupaze shingo.
 
Huo ulikuwa ujauzito wako bro!!
 
MKuu hiyo mimba ni ya january
 
Kwa hesabu hizo yupo sawa ni yako
 
Umri wa mimba unapimwa kuanzia ile siku ya period ya mwisho ya mwanamke. Mfano ulilala nae mwezi wa 2, period yake ya mwisho possibly aliiona Januar, so January ndo inakuwa mwezi wa kwanza wa mimba, count hiyo January mpaka miezi 9 ifike.
 
Ukiangalia sura ya mtoto vipi hakuna hata kufananapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…