kudadeki mtapigwa sana na huna pa kuchomokea zaidi ya DNA kwa sababu mahesabu ya mimba yatakukataa maana mimba kuanzia wiki ya 37 inaweza kuzaliwa sasa kwa maelezo yako hiyo tarehe kumi na saba mimba ilikuwa na wiki 37.kwa hiyo mahesabu yatarudi huko kwako.Tar 14
asante umeelewa?kapime DNA acha ngono zembeAhsante kaka mtoto karud nae yupo kwao
Feb 14 ndo tulikutana
Yani condom Tena ya NiniUngetumia condom ya 1000 kusingekuwa na haya maswali!
Tuseme Mara ya Mwisho kuona period yake ni 1/2/2024 hata kama ulimbandua siku chache baada ya period. ThenNimekutana na huyu bibie mwez wa 2 mwanzoni kufika mwez wa 3 kaniambia kuwa ana ujauzito wangu tar 17 mwez wa 10 ndiyo siku aliyojifungua
Sasa wakuu m nataka tu kujua kwa huo kwel miez 9 ya mimba imekamilika au alishakuwa na ujauzito tangu mwez wa 1 mim nimebebeshwa tu aliponiona nina potential ya kuwa baba, maana nikipiga hesab naona zinagoma
Hebu wakuu nitoen tongotongo hapa.
Yani condom Tena ya Nini
kweli wa ni bush dokta,Tuseme Mara ya Mwisho kuona period yake ni 1/2/2024 hata kama ulimbandua siku chache baada ya period. Then
Tare ya matarajio ya kujifungua kama atapata mimba ni
8/11/2024.
Muhimu: Lazima uwe unajua siku halisi aliyopata Period kwa mara ya mwisho ktk uja uzito huu.
Usije ukamkataa Mwanao