Naomba kuuliza, hivi ni lini wanafunzi waliofanya vizuri mitihani ya form four 2023 watatowa selection ya shule walizopangiwa A level?

Naomba kuuliza, hivi ni lini wanafunzi waliofanya vizuri mitihani ya form four 2023 watatowa selection ya shule walizopangiwa A level?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Anajuwa humu kuna wadau wa mambo yote, matokeo ya form four yalishatoka na kila muhusika anajuwa ana division gani.

Sasa nataka kujuwa ni lini serikali itatangaza selection ya shule za serikali kwa waliofanya vizuri?
 
Naibu waziri wa elimu.... Tafadhari naomba ujibu wa kifupi Sana......
Mweshimiwa spika naomba nijibu swali la nyongeze la ndugu yetu matola kama ifuatavyo........awe mvumilivu mda si mrefu tutatoa selection, tupo kwenye mchakato, hivyo nimuondoe wasiwasi.asante mheshimiwa spika.
 
Kuwa na subira muda si mrefu mkeka utatoka..
 
Eti waliofanya vizuri
Haujui kuwa siku hizi Tamisemi Unaweza Kupangiwa chuo Cha ustawi was jamii hata Kama ulipata one ya digits u need to be informed in currently issue

Kupangiwa shule nzuri A level it doesn't matter on Good performance.
 
Huwa zinatoka mwezi June mwanzoni.
Kuwa mpolee.
 
Eti waliofanya vizuri
Haujui kuwa siku hizi Tamisemi Unaweza Kupangiwa chuo Cha ustawi was jamii hata Kama ulipata one ya digits u need to be informed in currently issue

Kupangiwa shule nzuri A level it doesn't matter on Good performance.
Hata mie nilishangaa mwaka jana mtu alikua na 1 ya 14, PCB alikua na BBB eti alipangwa pharmaceutical sciences MUHAS.

Sema wazazi wakampeleka advance ya private, sababu mtoto alitaka Advance na sio Diploma
 
Back
Top Bottom