Naomba kuuliza kuhusu kampuni ya Alliance global

Naomba kuuliza kuhusu kampuni ya Alliance global

mkuu Junior 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2017
Posts
282
Reaction score
201
Natumaini wrote hamjambo. Mimi hapa leo naomba kuuliza kama kuna MTU mwenye kujua kampuni inayojitambulisha kama Alliance in motion na shughuli zake hapa Tanzania.
 
kikundi cha wacheza upatu wa kitapeli zaidi.
 
upatu

Ni biashara ya kutafuta watu wajiunge chini yako ndo ulipwe commision

Mm nimebahatika kuwaona kwenye magroup ya whtsap wanavyo strago kutafuta watu si jambo rahisi


Round hii magu alivyo bana huwezi pata mtu wakumuingiza kwenye Scam naona unataka kuipa prome [emoji3][emoji3][emoji3]
 
hizo ponzi scheme jamani mnamtajirisha yule wa kwanza tu
 
Bizness za udalali hizo, yaani leta kichwa kipigwe then upate commision..otherwise False..

Na yule wa mwisho ndio huwa anapigwa mazimaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom