mkuu Junior 2
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 282
- 201
Natumaini wrote hamjambo. Mimi hapa leo naomba kuuliza kama kuna MTU mwenye kujua kampuni inayojitambulisha kama Alliance in motion na shughuli zake hapa Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NomaahWajinga wataendelea kuliwa hadi ukamilifu wa dahali
Kwa io wanasema ukitaka milioni siwaelewagi kabisa mdau anakwambia amestaafu serikalini yupo ktk io kampunihizo ponzi scheme jamani mnamtajirisha yule wa kwanza tu
YaaapKuwa makini