Naomba kuuliza ongezeko la mishahara linawahusu watumishi wapi?

Kima cha cha chini
1. Certificate level mwalimu wa shule ya msingi kutoka 370000 - 500000/-
2. Certificate level kada ya afya
(a) wenye leseni itakuwa 620000/-
( b) wasio na leseni (MA) 520000/-

So Jinsi unavyo kuwa na daraja kubwa hivyo hivyo asilimia inakuwa inashuka chini . 🙂 🙂

. Kuna wale ambao tayari wanalipwa kuazia 2M kwenda juu ( masuala ya utawala) kwenye hii nyongeza hawapo, hata wakiongezewa haiwezi kuzidi 5000/-
 
kibarua wa ujenzi ana mzidi mwalimu mshahara,🤣🤣
 
Je ongezeko la mishahara linawahusu watumishi wapi walimu, madaktari au ni akina nani maana yaani apo kwenye kwa mishahara ya kima Cha chini sielewi naomba anae jua anipe ufahamu .?
Wote wa umma.

Ila siyo wote watapata 35.1%
 
1746333733784.png
 
Fundi day 16k
Kibarua 7k mpaka 10k
mjingamimi Hesabu hazipigwi hivyo mkuu, 😁😁. Saidia fundi ni kazi ngumu sana hasa miaka hii ya kizazi mdwebwedo.

1. Unaweza kuingiza 10 kwa siku , then ukala 8000/-, kulingana na kazi ngumu uliyoifanya.

2. Unaweza kukaa wiki yote kazi hamna, so itakulazimu utafune zile pesa ulizo pata siku za nyuma, baada ya hapo unabaki bila hata mia mbovu.
 
Kima cha cha chini
1. Certificate level mwalimu wa shule ya msingi kutoka 370000 - 500000/-
2. Certificate level kada ya afya
(a) wenye leseni itakuwa 620000/-
( b) wasio na leseni (MA) 520000/-

So Jinsi unavyo kuwa na daraja kubwa hivyo hivyo asilimia inakuwa inashuka chini . 🙂 🙂

. Kuna wale ambao tayari wanalipwa kuazia 2M kwenda juu ( masuala ya utawala) kwenye hii nyongeza hawapo, hata wakiongezewa haiwezi kuzidi 5000/-
Umepotosha mkuu mwalimu certificate sio kima Cha chini maana basic ni 479000 na take home 419000 so huyo sio kima Cha chini kwa anayeanza kazi Kila mwaka anaongezewa 10000 kama icreament
 
Leta mtu wa kima cha chini tuone mkuu, maana hiyo salary 419 ni diploma ya mwalimu kabisa.
 
Je ongezeko la mishahara linawahusu watumishi wapi walimu, madaktari au ni akina nani maana yaani apo kwenye kwa mishahara ya kima Cha chini sielewi naomba anae jua anipe ufahamu .?
Yoyote mwenye kima cha chini
 
Back
Top Bottom