Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 6,168
- 15,748
. Angalia tu hizi Nssf, paye, nhif wanakukata kiasi gani then zidisha mara 0.351 ..Mmmmmmmh mbona Nouma sana
Kama itakuwa kweli kama alivyo sema, watumishi wamelamba dume,
. Angalia tu hizi Nssf, paye, nhif wanakukata kiasi gani then zidisha mara 0.351 ..Mmmmmmmh mbona Nouma sana
Unataka kusema mwalimu alikuwa analipwa shilingi laki 370k ? Mwenye ngazi ya certificate ? Je hiyo 370k ndo ilikuwa take home ? Yaani pesa baada ya makato au imekaaje ?Kima cha cha chini
1. Certificate level mwalimu wa shule ya msingi kutoka 370000 - 500000/-
2. Certificate level kada ya afya
(a) wenye leseni itakuwa 620000/-
( b) wasio na leseni (MA) 520000/-
So Jinsi unavyo kuwa na daraja kubwa hivyo hivyo asilimia inakuwa inashuka chini . 🙂 🙂
. Kuna wale ambao tayari wanalipwa kuazia 2M kwenda juu ( masuala ya utawala) kwenye hii nyongeza hawapo, hata wakiongezewa haiwezi kuzidi 5000/-
Unataka kusema mwalimu alikuwa analipwa shilingi laki 370k ? Mwenye ngazi ya certificate ? Je hiyo 370k ndo ilikuwa take home ? Yaani pesa baada ya makato au imekaaje ?
Kwa sasa imepanda, ni 30,000 kwa fundi, na 20,000 kwa saidia fundi.Fundi day 16k
Kibarua 7k mpaka 10k
nazungumzia ukiwa kwenye kampuniKazi ya kibarua haina uhakika leo ipo kesho haipo
Fundi day 16k
Kibarua 7k mpaka 10k
Eeh kweni mm nimeandika nn,? Au umekosea quote??Is it constant!? Huyo fundi Anaweza kwenda kukopea benki kipato chake,ana bima ya afya!?,akiuugua siku 10 bado analipwa huyo fundi!? Mwalimu yuko on sick pay kwa mwaka mzima.haya ni machache tu
Wewe ukiugua mwaka mzima lazima mkeo akakitembeze kwa mwalimu ili wewe ule.
Acha kujifariji kwa mambo ya kijinga ndugu,pambana
Mm nilishaishiaga njiani katikati yakazi nikaondoka😂, nilikuwanimemaliza form four natafuta hata pesa ya vochaHuwezi kufanya kibarua cha ujenzi kila siku. Nilishafanya hiyo kazi ya zege najua balaa lake.
Ulisanda mzeeMm nilishaishiaga njiani katikati yakazi nikaondoka😂, nilikuwanimemaliza form four natafuta hata pesa ya vocha
Sijui kwanini mnawadharau walimu… sad generationkibarua wa ujenzi ana mzidi mwalimu mshahara,🤣🤣
Kibarua si ajira halisi na malipo yake yana vary, inategemeana na kazi anayofanya na project. Some place wanalipwa 10000 mpaka 7000Fundi day 16k
Kibarua 7k mpaka 10k
Na kazi ya zege ukiingia njiani hata kama ni nusu saa kabla ya kumaliza kazi hupati chochote.Mm nilishaishiaga njiani katikati yakazi nikaondoka😂, nilikuwanimemaliza form four natafuta hata pesa ya vocha
Mara nyingi mshahara ukiwa kidogo na makato yanakuwa kidogo. Huyo wa 370k makato yake yote. hayawezi kuzidi 50,000Unataka kusema mwalimu alikuwa analipwa shilingi laki 370k ? Mwenye ngazi ya certificate ? Je hiyo 370k ndo ilikuwa take home ? Yaani pesa baada ya makato au imekaaje ?
SIkupata kituNa kazi ya zege ukiingia njiani hata kama ni nusu saa kabla ya kumaliza kazi hupati chochote.
kibarua wa ujenzi analipwa bei gani mkuu 😅😅😅
Hakuna mwalimu analipwa hiyo ela nchii hii..kibarua wa ujenzi ana mzidi mwalimu mshahara,🤣🤣
Kama hauna taarifa sahihi uache kupotosha. Mwalimu anayelipwa mshahara mdogo zaidi ni mwanye ngazi ya mshahara TGTS B1 ambayo kwa sasa ni 479,000/-Kima cha cha chini
1. Certificate level mwalimu wa shule ya msingi kutoka 370000 - 500000/-
2. Certificate level kada ya afya
(a) wenye leseni itakuwa 620000/-
( b) wasio na leseni (MA) 520000/-
So Jinsi unavyo kuwa na daraja kubwa hivyo hivyo asilimia inakuwa inashuka chini . 🙂 🙂
. Kuna wale ambao tayari wanalipwa kuazia 2M kwenda juu ( masuala ya utawala) kwenye hii nyongeza hawapo, hata wakiongezewa haiwezi kuzidi 5000/-
Mbona Jamaa angu aliacha kujenga akaenda kwenye ualimu?15,000 kwa day