Naomba kuuliza ongezeko la mishahara linawahusu watumishi wapi?

Naomba kuuliza ongezeko la mishahara linawahusu watumishi wapi?

mjingamimi Hesabu hazipigwi hivyo mkuu, 😁😁. Saidia fundi ni kazi ngumu sana hasa miaka hii ya kizazi mdwebwedo.

1. Unaweza kuingiza 10 kwa siku , then ukala 8000/-, kulingana na kazi ngumu uliyoifanya.

2. Unaweza kukaa wiki yote kazi hamna, so itakulazimu utafune zile pesa ulizo pata siku za nyuma, baada ya hapo unabaki bila hata mia mbovu.
nipo kwenye kampuni.kwa siku ni 14,200 .na unaingia mpaka jumamosi kasoro jumapili.bado kuna over time.
 
Fundi day 16k
Kibarua 7k mpaka 10k
Ooh kumbe kibarua ana fanya kazi kila siku siku 30?, kumbe kibarua anaweza kwenda bank akakopesheka mpaka million 20 kwa dhamana ya ufundi ujenzi, kumbe fundi ujenzi ana bima ya afya nne kwa ajili yake, mke wake, wazazi na watoto wanne?, kumbe fundi ujenzi ana likizo ya malipo? Niendelee?
 
Kima cha cha chini
1. Certificate level mwalimu wa shule ya msingi kutoka 370000 - 500000/-
2. Certificate level kada ya afya
(a) wenye leseni itakuwa 620000/-
( b) wasio na leseni (MA) 520000/-


So Jinsi unavyo kuwa na daraja kubwa hivyo hivyo asilimia inakuwa inashuka chini . 🙂 🙂

. Kuna wale ambao tayari wanalipwa kuazia 2M kwenda juu ( masuala ya utawala) kwenye hii nyongeza hawapo, hata wakiongezewa haiwezi kuzidi 5000/-
Je kama unalipwa 616000 dip nyongeza kiasi gani
 
Diploma mwalimu anaanza na 590k bro
Screenshot_20250504-075821.png
 
Back
Top Bottom